@ledada unaibiwa huku shtuka, samahani mdogo wangu nakupenda ndio maana sitaki uingie kwenye migogoroBabu mchumba huyu chaliifrancisco ni wa kwangu mimi hapa.
Haendi popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifanye hivyo, nitaishi vipi bila wewe mke mkubwa kabisa wa wote? Wewe ndio main stay, basi chagua nimtimue yupi hapo na yupi abaki jamani my main babeBinafsi nimeamua kujitoa...baki na watatu![]()

Nitafurahi wakijitoa wote nibaki mwenyewe.



Usifanye hivyo, nitaishi vipi bila wewe mke mkubwa kabisa wa wote? Wewe ndio main stay, basi chagua nimtimue yupi hapo na yupi abaki jamani my main babe![]()
Dada nimeshachezewa na huyu.@ledada unaibiwa huku shtuka, samahani mdogo wangu nakupenda ndio maana sitaki uingie kwenye migogoro
Sent using Jamii Forums mobile app







Wifi nimechokaa@ledada unaibiwa huku shtuka, samahani mdogo wangu nakupenda ndio maana sitaki uingie kwenye migogoro
Sent using Jamii Forums mobile app



huu mdo ule uvumilivu ulikuwa unaniambia umenishinda
tupo wengi, wengine hawajulikani bado.Dada mimi nawapenda wote nitaufanyia moyo wangu partition kila mtu apate sehemu yake@ledada unaibiwa huku shtuka, samahani mdogo wangu nakupenda ndio maana sitaki uingie kwenye migogoro
Sent using Jamii Forums mobile app

Basi wacha mimi nitokeUsifanye hivyo, nitaishi vipi bila wewe mke mkubwa kabisa wa wote? Wewe ndio main stay, basi chagua nimtimue yupi hapo na yupi abaki jamani my main babe![]()



Eti nini??
Shhhhh usilie babe, nitakuelewesha wewe lala kwanza hasira zipungueNitafurahi wakijitoa wote nibaki mwenyewe.
Maana umenilubuni siku nyingi na kunichezea. Hata nikikuacha sina pa kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Shhhhh usilie babe, nitakuelewesha wewe lala kwanza hasira zipungue






Wewe ndio kila kitu. Nikikutimua ntakufa siku sio nyingi kwa msongo wa mawazo.Nitimue mimi na wawili wengine ubaki na mmoja![]()

Mdogo wangu hata usihangaike mwaya, huyu ledada tumeshapeleka kishika uchumba, unaonaje nikuachie huyu Da'VinciNitafurahi wakijitoa wote nibaki mwenyewe.
Maana umenilubuni siku nyingi na kunichezea. Hata nikikuacha sina pa kwenda
Sent using Jamii Forums mobile app