Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,717
- 1,472
Kuna mujitu imevuta na kulewa bangi ya dini...imekuwa na chuki..mibaguzi isiyoona tofauti na miwani ya dini. Watu hawa ndio wanaochochea mgawanyiko na hatimaye.....upendo na amani(dini ya kweli) inatoweka taratiiibu