Yerusalemu Iwe makao Makuu wa Palestina - Serikali ya Tanzania

Kujikatia tamaa kivipi!?
baada ya kugundua ukweli huu,''Naam kwakua nasi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo,kwamaana tulishuhudia kuwa mungu alimfufua yesu kristo wakati hakumfufua,imani yetu ni bure tungalimo katika dhambi,kama sisi tumemtumainia kristo sisi tu maskini kuliko Waaatu wooote.
Skeleton-kneeling-in-prayer.jpg
 
Ezekiel 28 God said: You
say: A god am I! You are a
man and not a god
however you may think
yourself like a god, to
have the mind of a god. I
will bring against you
enemies that will murder
you. They shall thrust you
down into the pit to die a
bloodied corps. Will you
say: I am god when you
face your murderers? You
are a man, not a god,
handed over to those who
will slay you. I have
spoken says God. In Eden,
blameless you were until
evil was found in you.
Violence was your
business. You sinned. I
banned you. You became
haughty because of your
beauty. Due to your guilt
and sin I profaned your
sanctuaries. I have
brought out fire to devour
you to dust on the Earth.
You shall be no more. I am
God and inflict
punishments to manifest
My holiness. I will send
much pestilence. Blood
shall flow in the streets.
Ezekiel 29 God said
Pharaoh, King of Egypt, I
am coming at you. I give
Egypt to Babylon’s King
Nebuchadnezzar. He shall
carry off its riches,
plundering and pillaging it
for the wages of his
soldiers, who did it for Me.
As payment for his toil, I
gave Egypt to him so they
will know I am God, says
God.
Ezekiel 30 God said: Egypt
shall be the most
devastated of lands, her
cities the most desolate of
all. They shall know I am
God when I set fire to
Egypt and break all who
help her. My command to
terrify unsuspecting
Ethiopia is coming. I shall
put an end of Egypt by the
hand of Nebuchadnezzar.
He and his most ruthless
people shall be brought in
to devastate the land.
They shall fill Egypt with
the slain. Everything I
hand over to the
foreigners to devastate. I,
God have spoken. I will
inflict punishment on
Egypt that they may know
that I am God. I will break
Pharaoh and strengthen
the King of Babylon by
putting My sword in his
hand. They shall know I
am God.
Ezekiel 39:17-19 God said:
You shall have flesh to eat
and blood to drink - and
drink blood until you are
drunk.
Enough of crazy Ezekiel
and his insane God…
 
baada ya kugundua ukweli huu,''Naam kwakua nasi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo,kwamaana tulishuhudia kuwa mungu alimfufua yesu kristo wakati hakumfufua,imani yetu ni bure tungalimo katika dhambi,kama sisi tumemtumainia kristo sisi tu maskini kuliko Waaatu wooote.
Skeleton-kneeling-in-prayer.jpg

Kuna uhusiano gani wa hichi ulicho post na hii mada!?
 
jamani tuacheni kuchonga, huu m simamo wa Tanzania si wa leo wala jana.

huyu just kaukumbushia tu. ila msimamo huu toka wakati wa mwalimu. na ilikuwa mikutano mingi ya CCm viongozi wa palestina hasa PLO hualikwa hasa Hayati Yassir Arafat.

mkjj nnaamini unalijua hili sana tu. na kuna kipindi uhusiano wetu ulikuwa mbaya sana na waisrael kwa suala hili.


tuacheni upayakwaji usio na maana, na hapo palikuwa ni hafla ya palestina na ndio mahala pake kuonesha jinsi gani ss ndugu zao tunavyowaunga mkono ktk harakati za kujikomboa na kuundwa taifa lao.

.
Hakuna mkristo yeyote anaejitambua anaeweza kujaribu au hata kufikiria Yerusalem kuwa mji mkuu wa Palestina.
Daud ambaya ndie mbunifu na mjengaji mji wa Yerusalemu hakuwa mpalestina(philistian). Daudi alikuwa mwisrael na watu wake walikuwa ni waisrael na Yerusalum ya Daudi ipo pale pale ilipojengwa kwanza. iweje leo ihame kuwa mji mkuu wa wafilisti?
Marmo kapoteza kabisa uwezo wa kufikiri na tukiendelea kuwashikilia watu kama hawa serikalini tutaendelea kuwa miongoni mwa mataifa masikini sana duniani. sii masikini tu wa mali bali hata kufikiri.
.
 
.
Hakuna mkristo yeyote anaejitambua anaeweza kujaribu au hata kufikiria Yerusalem kuwa mji mkuu wa Palestina.
Daud ambaya ndie mbunifu na mjengaji mji wa Yerusalemu hakuwa mpalestina(philistian). Daudi alikuwa mwisrael na watu wake walikuwa ni waisrael na Yerusalum ya Daudi ipo pale pale ilipojengwa kwanza. iweje leo ihame kuwa mji mkuu wa wafilisti?
Marmo kapoteza kabisa uwezo wa kufikiri na tukiendelea kuwashikilia watu kama hawa serikalini tutaendelea kuwa miongoni mwa mataifa masikini sana duniani. sii masikini tu wa mali bali hata kufikiri.
.
sawa,sasa unajua kuwa ili jerusalem uwe mji mkuu wa israel kuna vigezo gani vya kupitia?.

Wajua kuwa lazima ipiganwe vita kuu,wajenge hekalu lao ambalo afterall we mkiristo huruhusiwi kutia maguu ndani.
Na hekalu likijengwa je wajua kuwa kwamjibu wa maandiko yenu,hekalu litakua chini ya mpinga kristo na itatokea vita kuu na kisha kwa imani yako masiha ndo atatia magulu na kuleta amani kwa mda wa miaka 1000 kama sikosei.
Then wale watakatifu 144,000 kunyakuliwa.
Je we upo kati ya hao?.
Utapona hiyo vita,wanao ,watoto wako.
 
Jesus is suddenly speaking of the
prophecy in Daniel 9:27, 11:31,
and 12:11. This prophecy states
that the Antichrist will walk into
Holy of Holies in the Temple at
the mid-point of the 7-year
Tribulation Period for the
express purpose of desolating it,
and causing extreme offense to
God. Daniel calls this act the
"abomination that makes
desolate"; scholars have called it
"The Abomination of Desolation".
Therefore, the "baby" to be
"born" is the Antichrist. But,
wait, there is another "baby"
born in these verses! When
Jesus suddenly starts talking of
the Antichrist committing the
Abomination of Desolation in the
Holy of Holies in the Temple, all
sorts of red lights should begin
flashing, but thanks to the
terrible teaching of traditional
Bible teachers, these red lights
are no where to be found. In
Matthew 24:1-2, Jesus foretells
the destruction of the Temple
Herod was rebuilding; in verse 3,
the disciples correctly
understand that the destruction
of the Temple heralds the
destruction of the nation, Israel.
Indeed, both destructions were
carried out in 70 A.D.
Yet, Jesus is suddenly speaking of
Antichrist desecrating the Holy of
Holies! Therefore, the nation,
Israel, must have been reborn by
this time, and the Third Temple
rebuilt; otherwise, Antichrist
would not be able to offend God
by desecrating the Holy of Holies
inside the Temple! We have
another "baby" being born here
-- Israel! And, sometime before
Antichrist goes into the Holy of
Holies at Day 1,260 of the
Tribulation Period, the Temple
has to have been rebuilt.
THEREFORE: the signs, the "birth
pangs" Jesus listed in Matthew
24 will give birth to two babies:
the nation of Israel and
Antichrist. Let us examine these
birth pangs, and then we shall
see how the baby of Israel was
born exactly in accordance with
these signs, these birth pangs.
Jesus listed the following birth
pangs as the multiple signs by
which believers would know the
End of the Age is close.
Unparalleled Spiritual
Deception [vs 4]; this spiritual
deception is so pervasive, and of
such great concern that Jesus
reiterated the warning twice
more in this chapter, verses 11
and 24. Certainly, we are faced
with just such spiritual deception
today, as ministries thought as
Fundamental and right on target,
are suddenly seen shifting to
support Liberal or even New
World Order causes. In this day,
Christians must have their eyes
on Scripture
 
sawa,sasa unajua kuwa ili jerusalem uwe mji mkuu wa israel kuna vigezo gani vya kupitia?.

Wajua kuwa lazima ipiganwe vita kuu,wajenge hekalu lao ambalo afterall we mkiristo huruhusiwi kutia maguu ndani.
Na hekalu likijengwa je wajua kuwa kwamjibu wa maandiko yenu,hekalu litakua chini ya mpinga kristo na itatokea vita kuu na kisha kwa imani yako masiha ndo atatia magulu na kuleta amani kwa mda wa miaka 1000 kama sikosei.
Then wale watakatifu 144,000 kunyakuliwa.
Je we upo kati ya hao?.
Utapona hiyo vita,wanao ,watoto wako.

Mkuu chukua tano kwa hii tuishen unayotoa! Na pia nukupa big up kwa namna unavyosema nao kwa njia ya Amani na ya kiungwana.

Wape somo na uwafundishe kuwa watu wanajadiliana kwa hoja na ushahidi na wala hawajadiliani kwa kutukanana na kudharauliana.
 
Mkuu chukua tano kwa hii tuishen unayotoa! Na pia nukupa big up kwa namna unavyosema nao kwa njia ya Amani na ya kiungwana.

Wape somo na uwafundishe kuwa watu wanajadiliana kwa hoja na ushahidi na wala hawajadiliani kwa kutukanana na kudharauliana.
appreciated,wala sioni sababu ya kutukana kwani ni suala la kueleweshana tu.
 
The Mashiach
The mashiach will be a great
political leader descended from
King David (Jeremiah 23:5). The
mashiach is often referred to as
"mashiach ben David" (mashiach,
son of David). He will be well-
versed in Jewish law, and
observant of its commandments
(Isaiah 11:2-5). He will be a
charismatic leader, inspiring
others to follow his example. He
will be a great military leader,
who will win battles for Israel. He
will be a great judge, who makes
righteous decisions (Jeremiah
33:15). But above all, he will be a
human being, not a god, demi-
god or other supernatural being.
It has been said that in every
generation, a person is born
with the potential to be the
mashiach. If the time is right for
the messianic age within that
person's lifetime, then that
person will be the mashiach. But
if that person dies before he
completes the mission of the
mashiach, then that person is not
the mashiach.
When Will the Mashiach Come?
There are a wide variety of
opinions on the subject of when
the mashiach will come. Some of
Judaism's greatest minds have
cursed those who try to predict
the time of the mashiach's
coming, because errors in such
predictions could cause people
to lose faith in the messianic idea
or in Judaism itself. This actually
happened in the 17th century,
when Shabbatai Tzvi claimed to
be the mashiach. When Tzvi
converted to Islam under threat
of death, many Jews converted
with him. Nevertheless, this
prohibition has not stopped
anyone from speculating about
the time when the mashiach will
come.
Although some scholars believed
that G-d has set aside a specific
date for the coming of the
mashiach, most authority
suggests that the conduct of
mankind will determine the time
of the mashiach's coming. In
general, it is believed that the
mashiach will come in a time
when he is most needed
(because the world is so sinful),
or in a time when he is most
deserved (because the world is
so good). For example, each of
the following has been
suggested as the time when the
mashiach will come:
if Israel repented a single day;
if Israel observed a single
Shabbat properly;
if Israel observed two Shabbats
in a row properly;
in a generation that is totally
innocent or totally guilty;
in a generation that loses hope;
in a generation where children
are totally disrespectful towards
their parents and elders;
What Will the Mashiach Do?
Before the time of the mashiach,
there shall be war and suffering
(Ezekiel 38:16)
The mashiach will bring about
the political and spiritual
redemption of the Jewish people
by bringing us back to Israel and
restoring Jerusalem (Isaiah
11:11-12; Jeremiah 23:8; 30:3;
Hosea 3:4-5). He will establish a
government in Israel that will be
the center of all world
government, both for Jews and
gentiles (Isaiah 2:2-4; 11:10;
42:1). He will rebuild the Temple
and re-establish its worship
(Jeremiah 33:18). He will restore
the religious court system of
Israel and establish Jewish law as
the law of the land (Jeremiah
33:15).
Olam Ha-Ba: The Messianic Age
The world after the messiah
comes is often referred to in
Jewish literature as Olam Ha-Ba
(oh-LAHM hah-BAH), the World to
Come. This term can cause some
confusion, because it is also used
to refer to a spiritual afterlife. In
English, we commonly use the
term "messianic age" to refer
specifically to the time of the
messiah.
Olam Ha-Ba will be characterized
by the peaceful co-existence of all
people (Isaiah 2:4). Hatred,
intolerance and war will cease to
exist. Some authorities suggest
that the laws of nature will
change, so that predatory beasts
will no longer seek prey and
agriculture will bring forth
supernatural abundance (Isaiah
11:6-11:9). Others, however, say
that these statements are merely
an allegory for peace and
prosperity.
All of the Jewish people will
return from their exile among
the nations to their home in
Israel (Isaiah 11:11-12; Jeremiah
23:8; 30:3; Hosea 3:4-5). The law
of the Jubilee will be reinstated.
In the Olam Ha-Ba, the whole
world will recognize the Jewish
G-d as the only true G-d, and the
Jewish religion as the only true
religion (Isaiah 2:3; 11:10; Micah
4:2-3; Zechariah 14:9). There will
be no murder, robbery,
competition or jealousy. There
will be no sin (Zephaniah 3:13).
Sacrifices will continue to be
brought in the Temple, but these
will be limited to
thanksgiving offerings, because
there will be no further need for
expiatory offerings
 
hivi hii serikali ya ccm wanaifahamu MOSSAD? kwa hizi chokochoko zetu hao jamaa MOSSAD wanaweza kutupasulia nchi kabisa
 
Kwani kuna tatizo gani sasa!? Ukweli ndio huo Jerusalem ni ya Waisrael... wala sio ya Mpalestina wala Muarabu yeyote...
tatizo lipo pale myahudi anapoamini vingine nawe ukaamini vingine yet unategemea kunufaika na uwepo wa israel jerusalem.
 
jamani tuacheni kuchonga, huu m simamo wa Tanzania si wa leo wala jana.

huyu just kaukumbushia tu. ila msimamo huu toka wakati wa mwalimu. na ilikuwa mikutano mingi ya CCm viongozi wa palestina hasa PLO hualikwa hasa Hayati Yassir Arafat.

mkjj nnaamini unalijua hili sana tu. na kuna kipindi uhusiano wetu ulikuwa mbaya sana na waisrael kwa suala hili.


tuacheni upayakwaji usio na maana, na hapo palikuwa ni hafla ya palestina na ndio mahala pake kuonesha jinsi gani ss ndugu zao tunavyowaunga mkono ktk harakati za kujikomboa na kuundwa taifa lao.

Huo undugu wetu na wapalestina unatokea wapi? hata kama nyerere alikua rafiki na palestina ni yeye si TANZANIA YETU WALA WATANZANIA. Hata ulimwengu mzima ungeungana leo na palestina hakuna atakaeweza kuiondoa YERUSALEMU KATIKA MIKONO YA ISRAEL. ISRAEL NI TAIFA TAKATIFU LA MUNGU. TENA ALAANIWE ANAYEILAANI ISRAEL, NA ANAYEIBARIKI ABARIKIWE. (msituletee majanga)
MUNGU IBARIKI ISRAEL.
 
... page 6 & 7 inawasha red light ! Kumbe Watanzania tumekwisha gawanywa kiasi hiki ....kwa misingi ya udini ?!!! Sad...
 
what does jew say about christians.
As a Jew in the diaspora still
reeling from the Messianic
Missionaries outside Israel, I am
shocked these groups are
allowed to even have a place in
Israel. They claim to love Israel.
Love means unconditional
acceptance. They don’t accept
Jews as authentic. They don’t
accept Israel as a Jewish state.
They want to lead all of us to
Christianity, by deception, by
calling themselves Jews while
under the umbrella of Christian
Missions.
They are doing it while hiding in
plain site taking advantage of the
fact that Israel is open to
freedom of religion.
Sometimes the enemy of my
enemy is my enemy. Jews for
Jesus, Messianic Jews, whatever
Jewish sounding name they use,
are the serpent in the garden,
the worm in the apple. They are
wolves in sheep’s clothing luring
our people by dangling the word
“Jewish” in front of them to
bring them through the portals
of their Christian temples.
That Myers and his comrades are
excellent spokespeople for Israel
is not a sufficient reason to
accept them. We will end up
paying the piper. They are the
fifth column in Israel and covert
converters around the world.
Jonathan Bernis, chairman of
Messianic Jewish Bible Institute
said a few months ago:
“The idea seems to be that it is
somehow ‘intolerant’ for Jewish
believers in Jesus to share their
convictions with other Jews. The
real intolerance is coming from
those who apparently think that
no Jewish person should ever be
exposed to the claims of the
most famous Jew who ever
lived.”
They deceive with impunity and
in Israel compound it by
complaining about
being persecuted for their
beliefs.
The irony!
Rabbi Hillel wrote “If I am not for
myself.” We are flooded with
anti-Semitism and yet we open
the door in our homeland to
those who want to end our
history. If Israel does not stop
these groups in “the land” what
hope do we, in the diaspora,
have of stopping it in our
backyards? We are allowing
others to eat our young and then
we cry that we are losing our
children.
It has taken a long time for
Christian/Jewish respectful
dialogue to take place. And it
came about because the Jews
believed that the Christians were
no longer out to convert us. We
have overcome the accusation of
Christ-killer and now read about
reconciliation. These
organizations are attacking us
from a different paradigm: Jesus
is a Jew. So Jews should now
believe in Jesus.
I have been on Facebook pages
with Jews for Jesuscomplaining
that they aren’t accepted as Jews.
That Judaism has evolved. True.
Judaism has evolved but with all
the internecine attacks there is
one thing we all believe. You
can’t be Jewish and believe in
Christ.
Jews for Jesus will affect the
relationship between Christians
and Jews. We will begin to
question the motivations of all
our Christian friends who say the
Jewish people have a right to a
Jewish homeland and a right to
be Jewish. Jews and Christians
must work together to
stop Jews for Jesus from
poisoning our relationship and
evangelizing the Jews into
extinction.
Read more: Jews for Jesus: The
serpent in the garden | Diane
Weber Bederman | Ops & Blogs |
The Times of Israel http://
blogs.timesofisrael.com/jews-for-
jesusthe-serpent-in-the-garden/
#ixzz2wzNC6cSF
 
Nchi nyingi zikichukua msimamo kuwa makao makuu ya Tanganyika yawe Singida tukubali kwa sababu ni "nchi nyingi"?
Hehehe .... ikiwa tu sisi ndiyo tunataka iwe hivyo na tuna haki ya kutaka iwe hivyo.
Hiyo ni vision ya Fatah, chama kinachoungwa mkono na CCM na serikali yake tangu late 60s.
 
Hehehe .... ikiwa tu sisi ndiyo tunataka iwe hivyo na tuna haki ya kutaka iwe hivyo.
Hiyo ni vision ya Fatah, chama kinachoungwa mkono na CCM na serikali yake tangu late 60s.

Waisraeli wao wanataka Makao yao Makuu yawe wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom