Yerico Nyerere upo wapi mkuu tafadhali ukuje swaiba wako anapelekwa moto

Russia Russia mrusi anapelekwa moto

Yerico Nyerere tunaomba mwongozo.
Ukiona ata demu unamfuatilia mda mrefuu humpati basi ulishashindwa kikubwa nikuachana naye. Russia hii vita Alisha bugii mda mrefuu. Mm nazidi kumshauriii aaachane na hii vita arudii nyumbaniiii ajipange tenaa. Mwaka mazima hajatoboa mraba. Ameshindwaa saana
 
Tatzo hv vita watu walilileta ushabiki wa simba na yanga.. wengine wakaingiza na udini ndani yake, lkn hawakujaribu kukumbuka matukio ya nyuma kuhusu mmarekani...ukiona mmarekani katia mguu kwenye vita yyte bc jua hiyo vita kashaifanyia research ya kutosha na ushindi kashajua ataupata dk ya ngp ya mchezo... enzi za Putin zinaenda kutamatika rasmi very soon
 
Putin yupo sana tu

Ova
 
Back
Top Bottom