Pia ni mfanya biashara maarufu na Ni jasusi aliyesomea Urusi.... Teh TehNi bwamdogo mmoja anayejifanya kachero na jasusi wa kimataifa...kwa kuongezea tu, juzi juzi hapo alikuwa ana post ulabu wa ajabu, kwa kutumia Cyber Crime Law, wakuu wakaamua kumuadabisha...Sasahivi adabu mbele
Huu ni wivu wa kike. Itasikitisha sana kama mlio andika ni midume.Yericko ni NYUMBU mmoja hivi CDM wamemtumia alafu wakamtema kama bigijii
Ni Nyumbu mmoja anae ishi kwa kutumika kisiasa
Niki geugeu mmoja hodari sana
usije amini kila anacho kisema
kwani kesho hugeukia upande uleule alio usema kama shetani jana
Kuna kitabu ameandika y.nyerere...umekisoma?Ujumbe kama ule ulianza kutolewa na Nyumbu wa Cdm hapo kabla
Jesca una uhakika?Nimuuza magazeti posta.
Jesca una uhakika?
BAN inakuhusu kwa matumizi mabaya ya lugha