Yericko Nyerere kuliokoa taifa na baa la njaa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
mwandishi,mchambuzi wa siasa,mkandarasi,mkulima,public figure n.k. nk nk akimwagilia shamba lake dawa.Je una neno gani nzuri kumpongeza kijana YN.
ImsHNonZ.jpg
 
Kipindi kile magazeti yalimwandika Mfanyabiashara Yericko Nyerere na mwengine yakaandika Gwiji la Mitandao Yericko Nyerere, watu wakaja kubeza hapa.
 
Alikuwa anaropoka sana mitandaoni ila baada ya kukaa jela amekuwa na adabu na anaitumia vyema mitandao ya kijamii. Kweli jela inafunza kamanda kasaliti mabadiliko
Mkuu hizi sheria za mitandao lazima awe mpole
 
ongera Yericko nyerere, naomba tuungane tafadhali nikaribishe mkuu nipotayar kubeba ulicho beba na kushika jembe, ila ukianza kuandika mambo yako mi ntakimbia maana najua uwa unatoa mambo ambayo Nyumbu wa Lumumba wakisikia tu, huwa hawanaga neno zaidi ya matusi ya kilumumba.
 
Back
Top Bottom