Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,808
- 6,618
Hongera sana mkulima mwenzangu!Pole sana mdogo wangu, hujafa hujaumbika, jela sio kaburi
Nimeona upo na spray tank la kichina(tsh 35000) uliamua kubana bajeti tu au ndo hivyo tena mahaba na products za kina mao!!?