Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kigamboni, Yericko amesema kuwa Wanakigamboni wanahitaji mabadiliko, na kwamba katika uchaguzi huu yeye ana ajenda zake kuu tano, ambazo ni: miundombinu ya barabara, tozo ya daraja uingiapo na utokapo Kigamboni, gharama za maisha, huduma za afya, na ajira kwa vijana
Amesisitiza kuwa hayo ndio mambo anakwenda kuwaeleza Wanakigamboni kwamba wakimchagua atayatilia mkazo zaidi