Yemenikuta Mwenzenu

Pole sana kwa yaliyokukuta, mimi nachukulia kama ni kosa la kwanza, na kosa si kosa bali kurudia ndiyo kosa pia ujinga ni wakati wa kwenda ila ukirudi unakuwa mwerevu wa njia uliyopita.... hata mimi nimepata funzo flani kutokana na stori yako.
 
pole sana,i think uli-smile sana with your lips,siku ingine jaribu ku-ignore unapoitwa itwa na washenzi mitaani.by the way,im sure next time ukionana na huyo jamaa utaishia kutapeliwa tena maana nakuona mwepesi sana wa kulizwa,goodluck katika jitihada zako za kumsaka huyo mjasiriamali.:flypig:
 
Mimi nilishaacha mtindo wa kuongea na mtu nisiyemjua. Mjini hapa kuna utapeli wa kila aina.Pole sana na ushukuru Mungu kama hakukufanyia mambo mengine mabaya zaidi ya hayo
 
dah,asante kwa
angalizo na pole kwa yaliyokukuta. me huwa nina tabia moja, sipendi
kujuana juana. mwisho wa siku wanaanza kunambia kuwa najisikia,mara
naringa lakin ukweli unabaki pale pale!

mi huwa ctaki kabisa mazoea na stranger,i don care atareact vp,ol i care is my safety
 
Pole sana kwa yaliyokukuta,next time masuala ya kikazi yaongewe ofisini. Hiyo gari ni aina gani na rangi gani?
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!, pole sana

kilicho kuponza nipale ulipo kubali kukutana nae kwa mara ya 2 yeye ndio alijipanga na hiyo PODA huweka mkononi kwahiyo ukimpa mkono 2 kosa sasa wakati wa kunywa mkono hua unukuja PUANI..Pale huvuta halufu pole pole kupitia kwenye MKONO wako mwenyewe.bila kujijua ukuvut *4 tu usalama mdogo kinicho fuata kuku ongelesha sana kuhukiki kama umeisha LEWA pole ndio mjini hacha TAMA hakuna maisha rahisi kupitia mtaani tu..
 
huyo bwana alichokufanyia kinaitwa covert hypnosis kwa lugha ya kimombo....huyo bwana aliitumia njia hiyo si kwa nia njema japo njia hiyo huweza kutumika kwa nia njema...

In covert hypnosis, you hypnotize others without them knowing. A person does NOT know that you are hypnotizing him /(her)

The goal of covert hypnosis is to make your subject to do anything you want without any resistance. A person is unaware of being hypnotized which helps you to achieve your goals quickly. When a person is under hypnosis, you can make your hypnotic suggestions and commands.....

ndicho kilichokutokea dada yanu..na kuna steps karibu ya 10 katika kufanikisha hilo jambo...huyo bwana alizifata zote na hakuacha hata moja na ndio maana ulitii hata kila kitu katika kila hatua....
 
kilicho kuponza nipale ulipo kubali kukutana nae kwa mara ya 2 yeye ndio alijipanga na hiyo PODA huweka mkononi kwahiyo ukimpa mkono 2 kosa sasa wakati wa kunywa mkono hua unukuja PUANI..Pale huvuta halufu pole pole kupitia kwenye MKONO wako mwenyewe.bila kujijua ukuvut *4 tu usalama mdogo kinicho fuata kuku ongelesha sana kuhukiki kama umeisha LEWA pole ndio mjini hacha TAMA hakuna maisha rahisi kupitia mtaani tu..


hahahaha...hakuna cha poda wala nini ...ni kanuni flani flani ukizifata basi unam-hypnotize mtu..na ni rahisi sana
 
Mie ndio maana mtu kama simjui hata akiniuliza njia simjibu!

Yaani hao matapeli wa hivyo wapo sana afu wanaanzaga na samahani dada/kaka.....ole wako usimame ujifanye msamaria.....huna bahati!
 
normally huwa siongei na stranger ima faima...watu wengi huniambia naringa lakini siri ya kufanya hivi ni kutokana na yaliowakuta ndugu zangu maana walikutwa na kisa mithili ya kisa chako na hela iliyokombwa inatosha kabisa kununua shamba kisarawe au bagamoyo
 
Huu kwangu sasa ni mkasa wa tatu nasikia, tena kwa wadada tu kama alivyosema badili tabia.

Ni rahisi kumlaumu huyu dada lakini ukweli ni kwamba hawa jamaa huwa wako very strategic hivyo inakuwa ngumu kuwakwepa wakishakutageti.

Shida ukishakubali kuongea naye ndo umeingia mtegoni mwenyewe. Kuna mdada hadi aliwapelekaga home kwake kuwakabidhi pesa alizokuwa ameacha kabatini wakati tayari wameishamkomba za kwenye atm
 
Nenda TRA ukaangalie jina lake na addres yake,labda awe amebumba number ila naamini utapata pakuanzia coz owner wa hizo number atakuwa mtuhumiwa wa kwanza pia unaweza kwenda kwenye kampuni husika ya simu aliyo tumia kuwasiliana nawewe ukatrace info zake. Pole sana dude aliwataadharisha kwenye bongo daresalaam
 
My dea pole sana na mkasa
Nenda benki uwaambie waifunge account yako kama bado ina vihela
Cha msingi pewa barua ya police uende nayo sijui kama kuna kitu kabakiza humo
Yaani watu bwana badala ya kufanya kazi unaishi kwa utapeli
Bora hajakubaka akuachie na maradhi juu
 
hii kitu ina kozi zake bahati mbaya vitabu vyake viko mbali na hapa nilipo ila hapa nina dvd yake yenye koz hizo..lakini kozi zake ni kama hizi:

1. The Confident Hypnotist

This is a good course for beginners who want to gain confidence their voice tone, body language, gestures, breathing rate, timing etc. It contains valuable information if you want to eliminate failure while hypnotizing someone.

2. The Power Of Conversational Hypnosis

This was created by one of the greatest hypnotic minds of our century, Igor Ledochowski. The course is the most comprehensive, powerful and detailed conversational hypnosis course in the hypnosis world. Highly recommended!

3. The Art of Covert Hypnosis (iliyotumika kumlaghai huyu bidada)

This is a new course on covert hypnosis. this one is real course. The course teaches powerful hypnosis, NLP and mentalism techniques to guide you on how to hypnotize others covertly..
 
Back
Top Bottom