Yeke Yeke!!...

Na mtindo maarufu wa nywele kwa vijana ulikuwa ni Punk! Umenifanya nianze kupekua makabrasha ya picha zangu za enzi hizo. Niliweka punk kama ile ya Shabba Ranks na nilijulikana kwa jina hilo kunako maeneo yangu... Weweeee!! Acha hiyo maneno. Nilikuwa natoka kijijini naenda mjini (wilayani)mwendo wa miguu takriban 30km! kulikuwa na fundi mmoja matata alikuwa anaweza kunyoa hiyo kitu kama ya Shabba Ranks tena kwa mkasi na wembe Topaz! Ukimwi ulikuwa ndo kwanza unaingia mijini. Vijijini habari hatuna, tunakula maini kiulaiiini...!
dah! Na wanawake walikuwa na style yao ya ku choma nywele kwa kutumia kigae cha chungu cha moto na huku wamejipaka mafuta ya nazi.unakuta kapaka na wanja huku katikati ya paji la uso anaweka vi doti vitatu kwa uwanja.
 
Acha uvivu!Mpaka jua litoke au?
Dahhhh Embu nenda kwenye Love Connect ukachekeNa wewe .. kamsome jamaa anaitwaMohammed .. labda utamwelewa miekanikumbusha kipindi kile tunaanza kujifunza English darasa la tatu.. jamaa yuko Uni.Embu niache niwe na Lazy Day.Hakuna anaye nihiitaji Leo :)
 
Kweli hii ni jamii forum maana wengine hawajazaliwa ,wengine ndio wanacheza michezo ya baba na mama na kaka zao wa kuzaliwa nasi wengine tulikuwa twafikiria National form two exams wakati huo ndio kwanza umeanza na makali ya kuwarudisha watu mwaka,lakini yekeyeke tulicheza pia!
yaelekea we kikongwe sana mkuu,mwaka huo,wengne 2likua ha2jafkria hata kuzaliwa!
 
Kwanza Husninyo kabla ya salam,ulimalizana na Dada Asha maana ulimharibia siku jana na huyo Kaizer wako!!
 
Mkuu umetukumbusha mbali. Tulikuwa tunaenda kuwachungulia kaka na dada zetu wakiwa kwenye disco hapo na duh umetukumbusha mbali sana
 
Kwanza Husninyo kabla ya salam,ulimalizana na Dada Asha maana ulimharibia siku jana na huyo Kaizer wako!!
 
AD,nimeshacheka kabla sijaenda huko,ngoja nikajionee!
 
AD my mbavu iz vunjikaring,nimechekaz mpaka nimeinafu!!Teh,teh,teh,teh!
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kumwambia dem mmoja,"i lust u"!
 
Aiseee mmenikumbusha enzi za Mbowe Club tunaenda cheza Boogie na kungfu shoes chini... Yeke yeke .. Kikuku kinanukia ahaha ahha
 
Husninyo uchochezi gani?Mi hajaniambia kuwa yameisha!
 
Ametoka yuko kwa Lizzy anapika nyama na anampikia Magu sasa sijui utasubiri mpaka lini
Namsubiri akitokea tu ninae!Mpaka kieleweke hawezi kumfanya sista alale mpaka muda huu!
 
Namsubiri akitokea tu ninae!Mpaka kieleweke hawezi kumfanya sista alale mpaka muda huu!

Washaanza kupika nyama kwa ajili ya Magumalu sasa sijui kama atarudi huku maana mapishi yakiwa bomba unajua tena watalala huko huko
 
Back
Top Bottom