yegoo karudi

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
Back to headline!! Yegoo nimerudi sio kwingine bali nyumbani JF,, nilipotea kwa mda jama!!
Vilevi nimehama kule wanakopatikana ma Yegoo na sasa niko jiji la Dar!! Jamani Dar kuzuri acheni tuu!!
Nipo hapa dar toka mwezi wa pili mwaka huu!! Kidogo nimekuwa mwenyeji!!
YALIONIKUTA HAPA DAR
kuna post zangu humu nilileta kuhusiana na my fiance(mchumba) arooo!!! kumbe mchumba wangu alikuwa anapiga mark time tu hapa jijini
ALIKUWA MKE WA MTU tayari!! Iliniumaa sana
KILICHOFUATA
Nilimtakia kila la kheri!! Na mimi nikaendelea na kheri yangu iliyonileta hapa dar!! Namshukuru Mungu kwa hilo
NANI SHUJAA WANGU
Ni Mungu,Mama yangu, na Jamii forums
Asanteni sana
 
So kilichokuleta dar ukaacha kuvua samaki ni huyo mwanamke coz sijakusoma vyema, dadavua tuelewe.
 
Back to headline!! Yegoo
nimerudi sio kwingine bali nyumbani JF,, nilipotea kwa mda jama!!
Vilevi nimehama kule wanakopatikana ma Yegoo na sasa niko jiji la Dar!!
Jamani Dar kuzuri acheni tuu!!
Nipo hapa dar toka mwezi wa pili mwaka huu!! Kidogo nimekuwa mwenyeji!!
YALIONIKUTA HAPA DAR
kuna post zangu humu nilileta kuhusiana na my fiance(mchumba) arooo!!!
kumbe mchumba wangu alikuwa anapiga mark time tu hapa jijini
ALIKUWA MKE WA MTU tayari!! Iliniumaa sana
KILICHOFUATA
Nilimtakia kila la kheri!! Na mimi nikaendelea na kheri yangu
iliyonileta hapa dar!! Namshukuru Mungu kwa hilo
NANI SHUJAA WANGU
Ni Mungu,Mama yangu, na Jamii forums
Asanteni sana

jf never die
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom