YEBOOOO NIMETOKAAA ILA MAPAFU YANAUMa!

Ha ha haaa
Mji wafuata ni kama nimeanza kujua unachopenda.

Nani akushike sikio walau kiti wako aseme kidogo
moyo wangu upate burudiko.

Kapanda!
Hana anachodai zaidi ya neno moja tu!
"Ki ki ki kita kitasa"
Peana nae Kitasa apoe!
 
Lazima akemewe kwa majina yote makuu
ili aache makeke yake hayo.

Hakuna awezae kumpunga zaidi ya Kitasa!
Na Kwacho pekee ndo chenye uwezo wa kumkemea!
Coz after pungo always has remained calmy as usual .
 
hahahahhaaa kumbe bwana mageti sita (sixgates) yaani macho, masikio, vinyweleo, pua, kikojoleo na ki-tigo kumbe amefungwa na yeye, huyu afungwe kifungo cha maisha kabisa

CC: MANI
siamini kama nipo huru tena!
Kilikua kipindi kigumu sana
huko tulikua tuna kunywa gongo tu
nimemuona mfungwa mpya mageti sita kule naye anajifunza taratibu!
Usiombe yakukute!
 
Last edited by a moderator:
hahahahhaaa kumbe bwana mageti sita (sixgates) yaani macho, masikio, vinyweleo, pua, kikojoleo na ki-tigo kumbe amefungwa na yeye, huyu afungwe kifungo cha maisha kabisa

CC: MANI

Mpwa kuna id moja ina jina moja mwanzo halafu mwisho gate niliona jana lakini sio sixgates sijui ni foregate?
 
Last edited by a moderator:
Daaah misamiati imenipita umbo kwa mbali sana.

Mie niko hapa nasindikiza mapinduzi.

Najua wewe uko unasindikiza muungano.

Hakuna awezae kumpunga zaidi ya Kitasa!
Na Kwacho pekee ndo chenye uwezo wa kumkemea!
Coz after pungo always has remained calmy as usual .
 
pole mkuu kwa majanga hayo mm nilidhani ulilimwa BAN humu mjengoni kumbe ni nje ya mjengo
sasa ulpataje muda wa kuchit humu mjengoni wakati kule hata rasimu hawaijui kama ipo?
nilihukumiwa kifungo na kazi ngumu
kwakuwa 2015 tunachukua nchi ndio Msamaha umepita sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…