ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
mkuu tuwe wastaarabu jaman
div 5 hoyee
mulugo type juuu
chama cha mizigo hoyeee
Miaka 50 ya uhuru na mapinduzi ELIMU IMEPAA sasa tuna div 5 ambayo ni tanganyika tu iliopanzia haiko duniani baada ya kuona zero ni kukiuka haki za wanaojifunza
ssmu juu div 5 sasa wanajua kujiajiri kuandika thread kama huyu msome utagundua ni miongoni mwa ma div 5 wa mulugo type.
Karibia majukwaa yote yameingiliwa. Ishieni huku huku ole wenu mje kule jukwaa la uchumi na biashara tutawadunda na mawe.
Ndo muachage matukanio.
Afu wewe!
Wewe!
Yaani yaani wewee !
Ndiyo nini sasa ! Muone vile !
Ndiyo mana Babaako Mwanaume we !
Nonsense!
You're lookin you don't have skills either knowledge of intelligible recognization , via Speech , Writin or other symbolic system !
To make somethin seem unresonable they omitted one factor that would make a nonsense of your undarstandin .
Accusation without proper optimism atittude are absolutely NONSENSE .
Uelewa wako finyu ndiyo wa kuulaumu !
Usitegemee kila mleta post ataileta kwa capacity ya uelewa wako! Hukuelewa mada chapalapa mitaa mingine!
Sijui kumponda mtu mara Mulugo ni upuuzi mtupu na ni maneno yashapitwa na wakati .
div 5 hoyee
mulugo type juuu
chama cha mizigo hoyeee
Miaka 50 ya uhuru na mapinduzi ELIMU IMEPAA sasa tuna div 5 ambayo ni tanganyika tu iliopanzia haiko duniani baada ya kuona zero ni kukiuka haki za wanaojifunza
ssmu juu div 5 sasa wanajua kujiajiri kuandika thread kama huyu msome utagundua ni miongoni mwa ma div 5 wa mulugo type.
Sitaki kucheka siku ya Bwana tena sijago chachi;
Mmmmh ndo msuto au ndo nini hiyo tena;
Mambo.
Msuto gani !
Leo nimeamua kuwapaka nyie watu maarufu wa c.c !
Au fanya hivi , ili niache kuwatukana nipe mji ninyamaze !
Afu staki mji mkubwa ujue , hata ukinipa mji wa Chukuchuku unantosha !
Unanipa ?
Hunipi ?
We unaelekea una div 9 haswa na iq yako below zero
Huko mi staki !
Mi nataka huku chu! chuku chukuchuku tu!
Asa si unipe basi !
Wa wa wanipa?
Nitakupa,
Sema thatha wataka
vya kibongo bongo au vya hukoooo
milimani kwa akina Mtambuzi.
Halafu wewe,
Mbona naona kama nasinzia
au umeweka dawa za kulevya kwenye
ncha za vidole vyako.
Vya mlimani sina asili navyo!
Asili yangu tambarare nipa hivyo .
Btw kusinzia kutahusu labda ! Sie tuliopitwa na wakati wa kuvaa mlege twajua kubembeleza!
Nawewe umenipulizia nini? Mbona namsikitia kiti wangu keshapanda ? Punde hivi yatakayofata hayatakua yangu ya kiti .
Kuna udi uchome?
Hivi wajua mie niko Unguja Shem, jana nililala Maruhubi , muda huu niko Kikwajuni kwa Auntie yangu! Kaniandalia chapati kwa ngisi thereafter jioni ntakua Kiembesamaki .