Yawezekana?

Yawezekana?

As far as I'm concerned we are not competing about anything but rather trading good-natured banter.

But I could be wrong...

So what say you?
I am the type of person where you talk to me straight up

If you have a question ask me

Don't make me read between the lines, because you will get the wrong answer

So say you mean, and mean what you say
 
Mkuu kwa haraka haraka mtandaoni kwanini ukubali kumuamini mtu ambae umfahamu kama mkuu Ngabu anavyosema hapo juu

Ni wapi Nyani alipozungumzia uaminifu katika hii mada?
 
I am the type of person where you talk to me straight up

If you have a question ask me

Don't make me read between the lines, because you will get the wrong answer

So say you mean, and mean what you say

And that's precisely what I did. Didn't I?
 
Ni wapi Nyani alipozungumzia uaminifu katika hii mada?
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu Ngabu alichouliza au alichostaajabishwa nacho

Inakuaje uwe na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambe humfahamu wala yeye hakufahamu mitandaoni

Hapo mkuu phlagiey huoni kwa haraka haraka kuwa unamwamini mtu?

Ukimkaribisha mtu ambae hamfahamiani katika maswala ya usiriasi ina maana unamuamini, je hapo uaminifu haubebi nafasi?
 
Nijibu swali lako kutokana na uelewa wako au mada husika??

Maana swala la uaminifu katika hii mada halijazungumziwa.
 
Kuna mtu anakusumbua eee hahhhahhhahha ila ni kwelii utapendaje avatar au maandishiii wanayo kaziii!!
 
It's gambling but worthwhile,,needs to stay sober and focused.. U never know unaweza lamba dume
 
Naam na maisha yakasonga.

Ni kweli inawezekana kama unaweza kumwamini Mungu na kumpenda angali humwoni itashindikana vp kuwa na mahusiano na mtu ambaye humwoni wala humfahamu ila naamini ukishaanza kuchat nae tayari umeanza kumfahamu. Don't loose hope keep moving you gonna win frnd
 
me binafsi napenda sana mahusiano ya hivi, yana afya kwangu, ikiwezekana iwe online daily, mapenzi ya physically hayanikoshi kivile
 
Back
Top Bottom