Mkuu unapoonyesha hizo picha usitaje Tanzania. Hayo matukio ni laana na Tanzania hatujallaniwa kiasi hicho.
Nakuunga mkono kabisa. Pamoja na kuwa sikubaliani na tabia ya kuwagandamiza wengine lakini pia sikubaliani na wenye mawazo duni ya kutumia nguvu kupata kile wote tunachokitamani. The mouth speaks what the heart has. The evil tree can not bear good fruits let us not think of these evil things there are better ways of getting to our destiny and if u do ur part faithfully surely the situation will change from what we have to a better state. Acheni kuilaani nchi yetu na kamwe hatutakubali iwe hivyo we will use the right weapons to fight as we already have experience on that; the foundation which was laid by the founders of these nations. We are unique; perculiar people not found any where in this world; blessed are we and blessed shall we remain. No weapon fassioned against us shall prosper; for sure a thousand shall fall on our left side and ten thousands on our right side.
usianze wengine tupo easly porovocatedWavumilivu kivipi ? Wale ni watanzania hakuna kitu kinachoitwa pemba sasa hivi kwahiyo futa hilo neno la wapemba
Ukitaka hayo yasitokee, waambie hao viongozi wako wanao jaribu kurudisha nyuma juhudi za mlalahoi kujikwamua kutoka kwenye makucha ya Ma-Fis-adi. Kwa kuwaambia kuwa uongozi wa nchi hii ni chaguo la Mungu.Kuna majinamizi yanaitwa OIC na Mahakama ya Kadhi. Haya mawili yananyemelea amani na mshikamano wa watanzania. Hakuna vita vibaya visivyoisha kama vya kidini. Angalia Middle East amani imeshindwa kupatikana kwa kuwa vita vyenyewe, japokuwa vinazungumzwa na kujaribiwa kutatuliwa kisiasa lakini ni la kidini. Serikali kama inataka kuwagawa watanzania na kuleta machafuko mabaya iendekeze udini na kuvunja Katiba ya nchi!