ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #121
Naombeni niwe mweka hazina yenu.
hahaha umepinda wewe
mi nipo simiyu
Itawezekana tu hata tukiwa mtu 4. Tusikubali mapungufu yetu yawe chanzo cha kutugawa bandugu. Ngoja tusubiri ruhusa ya wenye ukumbi ndo tutandike jamvi letu manake waweza nunua jamvi ukakosa pa kulitandika....
lady furahia.. Samahani mami.. Kwa ulivyofikiri hilo group unategemea liwe ni la online au .. Litahusisha kuonana face to face!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
upo nchi gani? simiyu ni mkoa wa tzshosti simiyu ndo nini tena? nilikutafuta sijakupata ulikuwa wapi best jamani?
Na mie sijafurahia, nadhani walengwa ni hao waliotajwa kwa majina. Sisi wengine aku!
upo nchi gani? simiyu ni mkoa wa tz
umeona eeh, wanawake wa jf mmu wanajuana
naunga mkono hoja!pamoja sana!
ladyfurahia hata simiyu huijui, nadhani hilo jukwaa litakuwa la wanawake wa bongodalesalamu tu cc tulioko katavi sijui kama litatufaa
viongozi bado kwani tuko kwenye mchakato wa kutafuta jukwaa na kuwaomba mafounder wetu waweke hilo jukwaa hili hapa jf