Yawahusu wanawake wa jf tu


Mimi mwenyewe kukutana suwezi, ya nini kupata gharama ya kutafuta kipedo ili nisije geuka mada ya after party na miguu hii ya kushoto tehteh (natania tu) !! lakini kwa mie kuna mambo hata natamani kungekuwa na sehemu kama ya wanawake ili niposti kwa uhuru zaidi. Sijazoea sana kuwazukia watu PM.

Kuhusu kuongea kama mota ni lazima kwani hakuna kizuri kinachokuja bila kuwa challenged, penye kukosoana kuna maendeleo. Hapa sio kanisani au maneno ya bible kwamba hayapingwi mamii. Hatuwezi wote kuwaza sawa na kukubaliana kwa kila jambo.

Kundi likishaundwa nitakukaribisha tusongeshe umri lakini humu kwa humu. Mie sina hela za show off bwana kama za akina dada wa mjini wa vyumba vitatu vya jirani zetu.
 


hahahaha, haki ya nani nimecheka mpaka kichomi, ote ndao, hebu huko mwenzio bado nipo mzigoni ni nini na pedo na sendo zako za kimasai, hahahaha! bwana wanawake tuna kazi kubwa sana sana! very well said mdogo wangu Mrembo, wewe ndio umemaliza mjadala.
 
Asante kwa ushauri wako nashukuru umenifungua macho best ni kweli usemayo
usitegemee kuungwa mkono kirahisi na watu wote ktk wazo lako labda kama hakuna wenye kufikiria miongoni mwao. Lakini usirudi nyuma kwa kuwa umeungwa mkono na wachache kwani siku zote mambo mazuri huanzishwa na watu wachache.
 
Juzi tu tumeenda kwenye white party watu washaanza kusema walioenda ni mijimama mipashkuna?!!wakati watu tuna heshima zetu.Sasa kwa aina hii ya mitazamo itakuwa ngumu sana
 
Juzi tu tumeenda kwenye white party watu washaanza kusema walioenda ni mijimama mipashkuna?!!wakati watu tuna heshima zetu.Sasa kwa aina hii ya mitazamo itakuwa ngumu sana

ndio haya tunayasemea sasa, bwana wanawake tuna matatizo sana sana, sasa mambo gani haya? ngoja wengine tuishie kweny vi kitchen party vyetu vya uswahilini, hayo ya white/blue/purple yana wenyewe.
 
Hahahahahahahahah
daa kazi kweli kweli! Kwani Mrembo by Nature kwani ya kwenye vikao vyenu si mnyaacha kwenye vikao vyenu?

 
Last edited by a moderator:
Kumbe nawe ni mpenzi wa kitu eeh!!! I learned something new today.

Have a great weekend

Kwa lugha ya kandanda tungesema "man-to-man, close marking"


Shurti tupate nafasi ya kujifyaragua

Sio msururu wa watu, huna hata mmoja unaemjua vyema
 
mhm...hapa wanaume tuna kazi...wanawake wanataka kujipanga wajikomboe toka huu mfumo dume....ngoja tuwagegede mara ya mwisho maana karibuni tutambia kugegeda hakuna

hahaha umepinda wewe
 
Nakubaliana na maelezo yako, humu jukwaan wanawake tumekuwa na mitazamo tofauti baina ya cc kwa cc. Sasa suala la kuunda umoja, mpaka kutembeleana na kufahamiana nadhani ni jambo ambalo ni zito kwa wengi kutokana na Id zetu na mitazamo yetu kiujumla.
 
Teheteheteheeeeee kumekucha! Na mlivyo hampendani. Adui wa mawnamke ni mwanamke.
 
Hahahahahahahahah
daa kazi kweli kweli! Kwani Mrembo by Nature kwani ya kwenye vikao vyenu si mnyaacha kwenye vikao vyenu?
Sio wote huwa wanafanya hivyo, hivi unawajua wanawake au unawasikia?????????tuna mengi migongoni mtuache tu, hata ukikohoa tabu, ukijikuna itakuwa tabu pia. La muhimu tuyatue ndio twende kwa umoja huu la sivyo yatatushinda
 
Hili wazo zuri sana my dia lady furahia,nilikuwa nimeingia kama mgeni lakini imebidi nilog in.
 
Kikao cha kwanza njooni mfanyie kwenye li apartment langu masaki.... Kongosho analijua atakuleteni.
Ps: msije na drinks kila kitu mtakikuta.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…