Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,899
- 828,507
Niliyogundua katika zoezi hili la maandamano ni mengi sana, lakini haya machache tunaweza kujadiliana.
1. Hivi wale wanaotuma meseji za tuma kwenye namba hii walikuwa wapi? Maana sijapata meseji hiyo mpaka nimeihamu.
2. Wakina baba ni wapishi wazuri sana tatizo la kujua vipaji vyao ndio ilikuwa changamoto.
3. Watoto wengi wamepata fursa ya kujadiliana na wakina baba hasa masuala yahusuyo shule. ( wamefanikiwa kuwafahamu sura zao)
4. Kumbe tunaweza kulala saa 1 bila kupata konyagi, haya mazowea ni uongo tu usingizi upo.
5. Kanisa halihitajiki kwenye kupatanisha ndoa, just maandamano kikinuka familia zinaelewana.
6. Inawezekana kuamka na elfu kumi na ukalala ukiwa nayo.
7. Nyumba nyingi zinamjua Mungu hasa kwenye kusifu na kuabudu usiku mkubwa.
8. Biashara nzuri ni ya vyakula zingine mbwembwe tu za msimu.
9. Kufua na Saluni ni masuala ya kujitakia, dela linaweza kuvaliwa mwezi na kunyoa ndevu ni anasa.
10. Simba na Yanga ni vitu vinavyosahaulika kwa usiku mmoja tu, hata ikipigwa Derby unaweza usijue