bonna
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 855
- 520
huu utafiti ni uongo na hauna uhalisia kabisa..../ mi nawafahamu watu wengi tu wamekufa wazee sana hawajaoa/kuolewa. halafu wanaokufa wengi ni walioko kwenye ndoa na si vinginevyo...ndoa nyingi nowdays ni full stress.
kwanzaaa..kwani we mtoa mada unataka kuishi hadi lini yani....ah!
kwanzaaa..kwani we mtoa mada unataka kuishi hadi lini yani....ah!