Yathibitika: Kutooa au kuolewa ni kaburi la mapema…!

Yathibitika: Kutooa au kuolewa ni kaburi la mapema…!

Kuna utafiti nimeusoma na nitauweka hapa umebainisha kwamba ndoa imara huponya hata kansa.....
Lakini utafiti huu uko tofauti kidogo, hapa hata wale waliooa au kuolewa wakaachana wanaweza kuwa na umri mkubwa suala hapa ni kutokuwa na upweke kutokana na kuongeza nasaba kutoka upande wa pili wa mwenzi wako. kumbuka hata kama wanandoa wameoana na kuchana bado ule mtandao wa ndugu na marafiki walioutengeneza hauwezi kufa labda tu utapungua, lakini unaweza kuwa mzuri na imara kiasi cha kuwapa faraja na hivyo kuongeza umri wa kuishi

ni kweli nakubaliana na wewe ndoa yenye amani ,furaha,na upendo inasaidia kukinga magonjwa kama kansa ulivyosema ila ndoa ambazo hazina upendo amani huoa UTAFITI unaonesha wanaweza kuwa na umri mkubwa???
mimi nina mtot wa baba mkubwa wameachana na mkewe kwa ugomvi wakapeana talaka...mwanaume akamchukua watoto wote wawili na kuwapeleka bording likizo hawaendi kwa mama amewakataza...pande zote mbili hawaongei je huyu mama atawezeje kuishi maisha arefu while hana furaha ya watoto ,,hawezi kuolewa ypo more than 45yrs,mume hawaongei wala kuwasiliana

nieleze kwa ndoa ya walioachana kwa namna hii huo utafiit wako utatuambieje...ataishi maisha marefu kwa kipi
 
Mkuu Mtambuzi ngoja waje desparate na wale wenye Uchumba Sugu uone moto wake wakati makala imeenda shule!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Utafiti kwa ndoa hizo za zamani kwa sasa kuanzia ndoa za watu wenye miaka 40 ndoa zao wengi ni kuzimu ndogo... zamani nakubaliana nae.. marrage for now is hell
miss chagga kumbuka kanuni ya maumbile inavyosema na huwa ninafundisha hapa kila siku na hata huko kwenye dini wanatufundisha kwamba tunachoomba na kuamini hutujia bila chenga.

Wewe una imani haba sana, na uko so negative kuhusu ndoa na mahusiano usitarajie vinginevyo, labda tu kama utaikana hiyo kauli yako na kubadili namna yako ya kufikiri...

Mungu mwenyezi amesema wazi kwamba niombeni nanyi nitawapa, na akasema ukiomba usipayuke kwani yeye anajua yaliyo mioyoni mwetu, wewe unawaza na kufikiri kwa njia hiyo na kuweka kwenye maandishi, unafikiri atakupa tofauti, si mwenyewe alisema ni nani alimuomba mkate akampa jiwe na ni nani alimuomba samaki akampa nyoka..? unatarajia useme ndoa ni hell halafu upete vinginevyo?

Wewe endelea kusema tu kwamba ndoa ni hell halafu utaona mavuno yake.

Badilika binti bado unayo nafasi.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli nakubaliana na wewe ndoa yenye amani ,furaha,na upendo inasaidia kukinga magonjwa kama kansa ulivyosema ila ndoa ambazo hazina upendo amani huoa UTAFITI unaonesha wanaweza kuwa na umri mkubwa???
mimi nina mtot wa baba mkubwa wameachana na mkewe kwa ugomvi wakapeana talaka...mwanaume akamchukua watoto wote wawili na kuwapeleka bording likizo hawaendi kwa mama amewakataza...pande zote mbili hawaongei je huyu mama atawezeje kuishi maisha arefu while hana furaha ya watoto ,,hawezi kuolewa ypo more than 45yrs,mume hawaongei wala kuwasiliana

nieleze kwa ndoa ya walioachana kwa namna hii huo utafiit wako utatuambieje...ataishi maisha marefu kwa kipi

Watoto ni wake au ni wa Mungu, je kama (Mungu aepushie mbali)Mungu angewachukua wote na yeye angekufa?
Kilichozungumzwa ni kuwa na watu wa karibu watakaoweza kukusaidia kubeba mizigo ya maisha, na mtu anayeonekana wa karibu ni mke au mume na kama mmeachana bado muunganiko huo unaweza kukuacha ukiw ana mtandaop wa nasaba nyingi..
ICHANA soma mada yangu uielewe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi ngoja waje desparate na wale wenye Uchumba Sugu uone moto wake wakati makala imeenda shule!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Tatizo hapa watu wanachangia kwa kusoma heading, mpaka natamani niingie vichwani mwao niseme na bongo zao... Mweh!
 
miss chagga kumbuka kanuni ya maumbile inavyosema na huwa ninafundisha hapa kila siku na hata huko kwenye dini wanatufundisha kwamba tunachoomba na kuamini hutujia bila chenga.

Wewe una imani haba sana, na uko so negative kuhusu ndoa na mahusiano usitarajie vinginevyo, labda tu kama utaikana hiyo kauli yako na kubadili namna yako ya kufikiri...

Mungu mwenyezi amesema wazi kwamba niombeni nanyi nitawapa, na akasema ukiomba usipayuke kwani yeye anajua yaliyo mioyoni mwetu, wewe unawaza na kufikiri kwa njia hiyo na kuweka kwenye maandishi, unafikiri atakupa tofauti, si mwenyewe alisema ni nani alimuomba mkate akampa jiwe na ni nani alimuomba samaki akampa nyoka..? unatarajia useme ndoa ni hell halafu upete vinginevyo?

Wewe endelea kusema tu kwamba ndoa ni hell halafu utaona mavuno yake.

Badilika binti bado unayo nafasi.

Sawa kaka nitajaribu kufanyia kazi
 
Last edited by a moderator:
Kasinde zingatia kwenye rangi nyekundu......
Wewe zaa tu ili usije kosa mwana na maji ya moto, yaani usije kosa mume na hata mtoto wa kukuletea maji na dawa ukiumwa

Zaa tu mwanawane kuolewa ni majaaliwa........

sawa baba ntazingatia hilo na kulifanyia kazi
 
Haya fanya maarifa kaka nawe uoe, si unaona ndege keshaingia tunduni, hizo bahati wengine huziende kwa wapiga dogoli

kaa mkao wa kupokea mahali ankal wako hapa amefika hakuna magumashi, tena uzuri yeye ndio hayuko desperate kuwaisha process otherwise mimi niko ready.
 
miss chagga kumbuka kanuni ya maumbile inavyosema na huwa ninafundisha hapa kila siku na hata huko kwenye dini wanatufundisha kwamba tunachoomba na kuamini hutujia bila chenga.

Wewe una imani haba sana, na uko so negative kuhusu ndoa na mahusiano usitarajie vinginevyo, labda tu kama utaikana hiyo kauli yako na kubadili namna yako ya kufikiri...

Mungu mwenyezi amesema wazi kwamba niombeni nanyi nitawapa, na akasema ukiomba usipayuke kwani yeye anajua yaliyo mioyoni mwetu, wewe unawaza na kufikiri kwa njia hiyo na kuweka kwenye maandishi, unafikiri atakupa tofauti, si mwenyewe alisema ni nani alimuomba mkate akampa jiwe na ni nani alimuomba samaki akampa nyoka..? Unatarajia useme ndoa ni hell halafu upete vinginevyo?

Wewe endelea kusema tu kwamba ndoa ni hell halafu utaona mavuno yake.

Badilika binti bado unayo nafasi.
mi nimependa kwenye bold
 
Ubishi mwingine wa ajabu....
Utafiti umehusisha watu 80,000, unatarajia nyanya yako aliyeko Kipatimo Kilwa naye awemo?
Pamoja na kwmaba utafiti umefanywa nchini Marekani, lakini huoni kwamba mtindo wetu wa maisha unapoelekea haraka sana tutafanana na hao Wamarekani. Huoni jinsi utamaduni wa Magharibi unavyoshika kasi hapa nchini?

Kuhusu kwamba kuoa wake wengi hakuongezi umri wa kuishi, labda hukusoma huu utafiti mwingine

Gonga hapa:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...itika-kuoa-wake-wengi-huongeza-umri%85-4.html

Tatizo wala hukuelewa mantiki ya huo mfano niliotoa.
Any ways,Kubishana kwa hoja wala sio dhambi na kukubaliana kwa kila jambo means mmoja anatumia dickhead kufikiri.
Kasumba mliyonayo wabongo Ni kumeza vitu vizima vizima simply eti umeaminishwa utafiti umefanywa na wamarekani.

Utafiti wafanyiwe wamarekani(wenye tunatofautiana mitindo ya maisha) halafu uje utumike kama kielelezo kwa wamatumbi!!
Labda tukifikia level ya maendeleo waliyonayo jamaa ndo utaanza kutumika huku sio Leo.
 
pamoja na mayoyoso na changamoto zote ndani ya ndoa, bado ndoa ni bora kuliko ukapera.

[/quote BAK i realy miss u brother
i miss u hou you then
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Tatizo wala hukuelewa mantiki ya huo mfano niliotoa.
Any ways,Kubishana kwa hoja wala sio dhambi na kukubaliana kwa kila jambo means mmoja anatumia dickhead kufikiri.
Kasumba mliyonayo wabongo Ni kumeza vitu vizima vizima simply eti umeaminishwa utafiti umefanywa na wamarekani.

Utafiti wafanyiwe wamarekani(wenye tunatofautiana mitindo ya maisha) halafu uje utumike kama kielelezo kwa wamatumbi!!
Labda tukifikia level ya maendeleo waliyonayo jamaa ndo utaanza kutumika huku sio Leo.
Naamini wote tunazungumza kitu kimoja ili sentensi zinatofautiana.
Ahsante kaka kwa changamoto, ili tuelimike kutofautiana husaidia kupanua wigo wa kufikiri, ahsante kwa kunifikirisha
 
“Marry, and you will regret it;
don’t marry, you will also regret it;
marry or don’t marry, you will regret it either way.

Laugh at the world’s foolishness, you will regret it;
weep over it, you will regret that too;
laugh at the world’s foolishness or weep over it, you will regret it either way;
laugh at the world’s foolishness or weep over it, you will regret both.

Believe a woman, you will regret it;
believe her not, you will also regret it;
believe a woman or believe her not, you will regret it either way;
believing a woman or not believing her, you will regret it both ways.

Hang yourself, you will regret it;
do not hang yourself, and you will regret that too;
hang yourself or don’t hang yourself, you’ll regret it either way;
whether you hang yourself or do not hang yourself, you will regret both.

This, gentlemen, is the essence of all philosophy.”

― Søren Kierkegaard, Either/Or: A Fragment of Life

I believe in my best mentors and philosophers Friedrich Nietzsche and Albert Einstein ;You can never be right or wrong,either way its fine as you perceive it..

Take it or leave marriage life sucks at times i have seen it and lived throughout it..I felt sadness and countless sombre moods in that hellish thing that people adore and get obsessed with it..??
I have always been asking myself what does a man or woman sees in each other when in due time that flame fades and subsides in blowing wind..?
I have seen my sisters suffering and living in despair..one of my cousin brother even attempted suicide as his dear wife of only a year that we attended the wedding full of swags,winning and dining of mbwembwes and kantangezes za kutosha crumbled like a pair of dominoes..What a f**k

Still believing in it??..Why dont humanity fell in love with food,music,art or anything of longevity and tangibility..except those four words that people swear to abide by even though they cant abide their tongues??
Nawalisha ni hayo tu ya kwangu kwa leooo??
Furahiday njema..!!!!
Let me be single and enjoy it for a while as lovely as it gets..
 
miss chagga, hebu soma majibu yangu kwa charminglady, huyo Bi Kidude alikuwa amezungukwa na Marafiki, ndugu, vijukuu, vitukuu na vilembwe, hakuwahi kuwa mpweke kutokana na kuwa na nasaba nyingi

Kama ni hivyo basi! utafiti huo unawahusu maskini tena wale wasio na ndugu, kama mtu ni tajiri ila hajaoa anaweza kuwachukua ndugu zake akaishi nao kama ulivyomji dada CHAMInglady kwa kuelezea namna mapadri wanavyotunzwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom