Yapi matumizi sahihi ya p2?

Hivi mnawapata wapi wa kuwabebesha mimba, mbona miaka na miaka inakata sijabahatika kunyandua demu aliye kwenye siku zake za hatari, kila ninayempata anajielewa na yupo makini sana kuliko chochote, kweli kitu usicho kitaka ndicho kinachokutokea ila unachokitaka kamwe huwezi kukutana nacho kamwe,
 
Habari doctor's wa jf,naomba kuuliza Jana saa tisa mchana dada ametumia dawa ya p2 akaambiwa baada ya masaa kumi na mbili atumie kingine maana aliambiwa ameze kimoja kimoja.

kwahiyo alipomeza kimoja hiyo Jana mchana saa tisa ilitakuwa ameze kingine saa tisa ucku,Sasa kajikuta kachelewa kashtuka saa kumi na mbili alfajiri ndio kameza cha pili jeeee kunatatizo lolote hapo?

Au dawa haitafanya kazi inavyotakiwa??? Naomba msaada wapendwa wa jf
Jiandae kulea.... Full package
 
Mpenzi yeye alifanya tendo ucku wa kuamkia Jana kwahiyo Jana ndio kameza kimoja mchana chapili alikuwa anameza saa tisa ucku kajisahau kashtuka saa 12 alfajiri akameza kwahiyo hapo kapitisha masaa Kama mawili nasehemu ndio kameza kidonge cha pili au arudie dozi ingine????
Nduuuh!! C useme kuwa ulikuwa ni ww!?
 
Back
Top Bottom