Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Kama ukiituumia kwa nia njema basi..
Ina...
  • kurelax
  • kupa sense of euphoria..
  • kufanya ufikirie mambo kwa upana zaidi..
  • sifika kwa kukufanya upende amani...
  • punguza maumivu ya magonjwa makali kama jino, cancer n.k...
 
Tuambie madhara ya bangi uliyoyaona wewe maana mwisho umehitimisha kwamba, machalii wa Arusha wanachukulia bangi kama kitu cha kawaida ilihali madhara yanaonekana.

Huwezi kukiri umeona madhara ya kitu fulani alafu papo hapo utake tena kueleweshwa madhara ya kitu hichohicho!

Kwa wale wasiojua ni kwamba, bangi huongeza hekima endapo utaitumia yenyewe kama yenyewe. Ukivuta bangi usinywe pombe au kuchanganya na kilevi chochote maana huko ni kuelekea kwenye uchizi!
Bangi huongeza hamu ya mapenzi hasa kwa mwanaume na humfanya asifike kileleni mapema/kwangu mimi na kwa watu wengi bangi huweza kukufanya ujiamulie ufike kileleni baada ya muda gani.
Yaani unakuwa na uwezo wa ku control hisia zako huku ukiwa na furaha iliyozidi mara nyingi kuliko ukifanya wakati hujavuta
Pia mmea huu huondoa kichefuchefu na kuleta hamu ya kula pamoja na kukuweka normal kiakili na kihisia
Kadhalika mmea huu kwa kuuvuta huleta usingizi mzuri hata kwa wale wanaokosa usingizi
Kubwa zaidi huongeza upendo, amani, utulivu na furaha

Ukivuta bangi usinywe pombe au maugoro na sigara papo hapo bali subira walau masaa 5-7 ndipo utumie hayo mataputapu

Bangi iheshimiwe wakuu
 
Iyo kitu nikiboko yawachawi hata mshana analijua ilo yn ukihis kuna dalili ya walozi wamekutembelea ucku usihangaike nao weamka washa moja utawackia live wakitoa misonyo yamaana
 
Hahaa acha basiii " kama jana umeweza kuvaa skirt ya shemeji yangu then ukatoka nayo nje bila kujitambua "... Utashindwa vipi kuni fananisha Aisee"....

wewe itakuwa wamuongelea Wick ila umejikuta una changanya madesa... Mkuu
Kuna mtu anatafutwa kitaa mjue!.
Me napita mbali msije nitaja namjua supplier wenu bure!..
 
Bangi inanifanya nilale usingizi poa sana

Na nikitaka kufanya mazoezi nafanya kwa muda mrefu sana..

Hata kula nitakula msosi mwingi sana..

Kufikiria "deep thinking"..ina ongezeka maradufu sana ...

Kwa kifupi ni nzuri ukivuta vizuri sana.
Note : Bangi ni hatari kwa mtu aliyezaliwa na hisia ya sita a. k. a genius.
 
Back
Top Bottom