Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Bangi inapunguza maumivu, ni kama dawa za msono pia. Na ni kilevi pia. Pia tafiti zinasema inasaidia kupunguza athari za kifafa. Na ni kilevi kama dawa nyingine za kulevya
 
Back
Top Bottom