Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Woow .. kwanini sikukujua mapema Apple "... kipindi ambacho upweke unaniathibu na kunifungia kwenye jela yake ya Simanzi"... Umenifanya nijihisi mfamle ninayeogopwa na dhiki+ tabu za dunia
Umeachana na yule demu wako w kizaramo mkuu uliyemsifia kwa mauno feni yake?
 
hahaa usitake kuniambia kuwa bangi huwa inakufanya upoteze network kiasi hiki "... mpaka umefikia hatua ya kunifananisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu siwezi kukufananisha ndugu yangu ata nilale juu ya moshi wa bangi
 
Hahaa acha basiii " kama jana umeweza kuvaa skirt ya shemeji yangu then ukatoka nayo nje bila kujitambua "... Utashindwa vipi kuni fananisha Aisee"....

wewe itakuwa wamuongelea Wick ila umejikuta una changanya madesa... Mkuu
 
Kula shada acha Umbea. Umri umeenda hatwendi kwa pusha ovyo ovyo stock mda wote mapuli yapo.
 
Attachments

  • IMG_20180922_214912.jpeg
    IMG_20180922_214912.jpeg
    50.5 KB · Views: 24
  • IMG_20181007_203327.jpeg
    IMG_20181007_203327.jpeg
    64.1 KB · Views: 23
Bangi ni mbaya sana hapa namuona baba mchungaji Gwajina akinipa mahombi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa kweli unahitaji maomb
 
Woow .. kwanini sikukujua mapema Apple "... kipindi ambacho upweke unaniathibu na kunifungia kwenye jela yake ya Simanzi"... Umenifanya nijihisi mfamle ninayeogopwa na dhiki+ tabu za dunia
bange s nzuri kwa afya
 
Back
Top Bottom