Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Yapi majibu yako kuhusu matumizi ya Bangi

Mambo ya bangi waachie wavuta bangi mdogo wangu, hii ni skunk gram 5 nimenunua 20,000/- kusindikizia sabato
IMG_20181013_154057.jpg
 
bangi haina shida kabisa bangi ni mmea mungu aliuweka duniani kwa ajili ya kutusaidia wanadamu kuondokana na mastress..... pumbavu flani uko wakakaa chini waka nullify matumiz eti ni dawa ya kulevya afu wakaweka Nicotine kwenye fegi wakasema fegi ni salama na inalipiwa kodi........ kuishi duniani kunaitaji akili ya ziada kupambanua mambo bangi ni salama na Safi kabisa hamna mtu amewahi kufa kisa bangi ukiitumia vizuri utajiona upo peponi BANGI OYEE oyeeee!!
 
Na wale machalii wa chuga vipi?
 
Na wale machalii wa chuga vipi?
Usitumie bangi ukiwa huna kazi au shughuli ya kujiingizia kipato. Bangi inahitaji mtu ambaye kichwa kimetulia. Kama maisha yamekupiga lazima uwe km hao machalii wa chuga.
Bangi inaendena na msosi wa kutosha..sasa hao machalii nahisi hata kupata msosi wa maana ni shida.
#LegalizeIt
 
Bangi inanifanya nilale usingizi poa sana

Na nikitaka kufanya mazoezi nafanya kwa muda mrefu sana..

Hata kula nitakula msosi mwingi sana..

Kufikiria "deep thinking"..ina ongezeka maradufu sana ...

Kwa kifupi ni nzuri ukivuta vizuri sana.
Mazoezi gani? Unafanya
 
Naomba nielekezwe hapa kidogo mtu unaanzaje kuvuta bangi ?

Upi umuhimu wa kileo cha bangi? Na yapi madhara ya uvutaji wa bangi?

ili mtu aache kuvuta bangi anatakiwa afate njia zipi?

Ni maswali machache lakini yenye umuhimu sana kama Elimu kuhusu bangi ikafika pale kwa machalii wa chuga.

Wanaichukulia bangi kama kitu cha kawaida sana lakini madhara yake tunayaona sisi kwa kuwatazama wao.

Ambao walitazama short clip za Bongo star search jana watakubaliana na mimi wale machalij wa chuga wanaitaji tiba kwa walichokuwa wanakifanya.

Naomba nikujibu kama ifuatavyo.

Bangi unaanza kuivuta baada ya kuichambua, kuizingusha kwenye Rizla (zinauzwa madukani na serikali inachukua kodi) then unaiwasha (choma) baada ya hapo unaanza kuvuta mafundo ya moshi.

Umuhimu wa bangi ni kuifanya akili itulie iweze kufikiri kwa kina zaidi na kukuweka katika hali ya Tahajudi (meditation), pia ina faida nyingi ki afya kama vile kuondoa/kupunguza maumivu kwa wagonjwa wa cancer n.k (faida zipo nyingi).

Ili uache kuvuta bangi kwanza unatakiwa uizime na kisha unuie/uweke nadhiri ndani ya moyo wako kwamba hutoiwasha wala kuvuta mafundo ya moshi wake tena. (Ingawaje sio jambo zuri kuacha)

Vitu vya kuzingatia

Usivute Bangi kupita kiasi, chochote ukifanyacho kwa kuzidi kiasi huwa na madhara. Hata chakula ukila kupita kiasi lazima utavimbiwa.

Bangi inafaa sana kuvutwa/kutumiwa eneo lenye utulivu na watu wenye utulivu pia. Muda mzuri wa kutumia Bangi ni asubuhi (kabla ya jua kua kali) na jioni(baada ya jua kupoa).
 
Back
Top Bottom