Yapi Madhara ya kunywa maji ya mvua?

Dislike

Senior Member
Jun 20, 2011
125
24
Wana jf napenda kufahamu kama kuna madhara yoyote kiafya mtu anaweza kupata kwa kunywa maji ya mvua.
 
Wabongo bwana, ukute ulishajidunga hiyo mimaji kwa miaka kibao, leo ndo unauliza madhara! Yaleyale ya mafuta ya ubuyu na TBS!!!
 
Ki 'science' maji ya mvua si maji salama kwa kuwa yana pH ya 5.6 - 5.0, hivyo yapo 'slight acidic' yakiwa hayana madhara makubwa kwa matumizi ya kawaida kwa binadamu,

Hivyo mkuu wee endelea tuu kugonga maji ya mvua bila wasi wasi wowote......
 
safi sana papason
 
Kama yana madhara basi wengine tumeshakufa tayari
 
Haya maji safi kabisa, inategemea bati lako tu kama liko bomba. Nimegonga sana haya na niko safi tu kwa hiyo we gonga tu
 
Ki 'science' maji ya mvua si maji salama kwa kuwa yana pH ya 5.6 - 5.0, hivyo yapo 'slight acidic' yakiwa hayana madhara makubwa kwa matumizi ya kawaida kwa binadamu,

Hivyo mkuu wee endelea tuu kugonga maji ya mvua bila wasi wasi wowote......

Nyongeza. Hayana madini ya asili yanayopatikana ardhini ukilinganisha na yale ya bomba au kisima. Madini km chuma, fosphorus, calcium nk ni muhmu kwa mwili ila maj ya mvua yaapwaya
 
Huku kwetu maji ni ya chumvi so tukipata ya mvua ni kama almsi tunayahifadhi kwa matumizi ya muda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom