Elections 2010 Yanini kuficha!!!!!!

Hegelyakoni

Member
Oct 7, 2010
31
3
Kikwete Mungu akupe neema utambue kuwa watu wamekuchukia gafla!!!!!hasa kwetu Mwanza,ulitudanganya kwamba
''Mwanza ingekuwa Califonia ya tanzania''ukatuona mazoba,na hatusahau ulivotaka kunyang'anya haki za watu wa nyamagana ili umpe Masha vile ni rafiki yako.unapenda kujichekeshachekesha(refer to your Mdahalo wa kubumba wa urais),hizo kwetu ni dharau,kibaya zaidi ushindi wako ni wamchina yaani feki
.

Tunajua Mungu wa wanyonge ni mwaminifu,na kwamba kwa nguvu kubwa unazotumia kuwa rafiki wa mafisadi na huku wanyonge wakiangamia kwa umaskini.Tambua Mungu atatumia nguvu zake kubwa kuuharibu utawala wako.
 
Poleni sana, si angeanza na kwake chalinze au bagamoyo? jamani, mbona si ngumu kupata majibu? mmeliwa!
 
Ya nini kulalamika wakati mwenyewe anajilia bata tu Ikulu. Hapa ni jino kwa jino, yeye na mafisadi sisi maskini jeuri. Watawala kama JK wanawapenda watu walalamikaji wasiochukua hatua zozote kujiletea mabadiliko kwani hao ndio wanatawalika vizuri na ndio maana kura nyingi za JK ni toka vijijini.

Hapa hakuna kulalamika wala nini. hatua ya kwanza mmeifanya vizuri pale mliposema Masha NO! Hatua ya pili itakua pale tutakaposema CCM NO pale kwenye chaguzi za serikali za mitaa (2012 or 2014 i think), na hatua ya mwisho ni pale tutakaposema CCM tupa kule au NO MORE CCM beyond 2015, na mchakato huo unaanza as soon as possible
 
hakika hii sala nimeipenda, yeyote aweza kuona kuwa imetoka moyoni. Ni kweli huko home nawashukuru sana mmewapiga chini hawa jamaa, its just the beginning there is much more 2 come. Ni kichapo tu!
 
Aaaaaamen
Mungu nasikia maombi yetu yote (ya kimya kimya na ya sauti)
 
Kikwete Mungu akupe neema utambue kuwa watu wamekuchukia gafla!!!!!hasa kwetu Mwanza,ulitudanganya kwamba
''Mwanza ingekuwa Califonia ya tanzania''ukatuona mazoba,na hatusahau ulivotaka kunyang'anya haki za watu wa nyamagana ili umpe Masha vile ni rafiki yako.unapenda kujichekeshachekesha(refer to your Mdahalo wa kubumba wa urais),hizo kwetu ni dharau,kibaya zaidi ushindi wako ni wamchina yaani feki
.

Tunajua Mungu wa wanyonge ni mwaminifu,na kwamba kwa nguvu kubwa unazotumia kuwa rafiki wa mafisadi na huku wanyonge wakiangamia kwa umaskini.Tambua Mungu atatumia nguvu zake kubwa kuuharibu utawala wako.

AMEN hakika sala hii nimeipenda,nami naongeza Mungu wetu siyo mwanadamu hata aseme uwongo.
habari za kuaminika JK alitinga katika ukumbi wa Anatogro usiku wa saa saba na kuamuru matokeo ya mbunge wa segerea kutangazwa,not only that habari kutoka ndani ya tume zinasema JK hakupata zaidi ya kula laki nane,watu wengi ndani ya tume waliyofanya kazi ya uchakachuaji wamekimbilia kwa wachungaji mbalimbali na kutubu kwamba kitu walichofanya mwaka huu(wizi) hakijawahi kutokea katika historia.

habari nyingine hata wanajeshi wamekasirika sana kwani Lugalo nikimaanisha Makao makuu ya jeshi JK hakupata hata 1/3 ya kura zote zilizopigwa, wao wenyewe wanashangaa ni kwa njia gani kura zao zimechakachuliwa vivyo hivyo kambi ya mondoli amboyo chanzo chake kinaeleza JK hakupata hata kura moja,ni jambo lilomfanya JK atoke IKULU NA KWENDA KATIKA OFISI ZA TUME USIKU WA MANANE KUJUA KULIKONI.

Ndiyo maana tunaweza kuona Tume imetoa matokeo yakiwa na makosa mengi kwa kuwa walikuwa under pressure.

taarifa hizi ni kutoka kwa mtu na mshahuri wa karibu wa kikwete.

Jamani watanzania hii ni hatari sana tutafute njia, nduli JK angoke tukose utawala kwa siku kadhaa lakini nduli huyu tumuondowe na uchaguzi urudiwe tena,mimi sitaki ,sitaki hata kumsikia, kwa roho yake ya mauwaji na uchawi mkubwa.

simaanishi damu imwagike,twaweza kufanya matembezi ya Amani na kumshinikiza ajiuzulu kwa ujumbe mbalimbali wa maneno hasa keshokutwa anapokuwa Dodoma na taarifa hizi zikarushwa kimataifa.

Anakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sana.
 
Kikwete Mungu akupe neema utambue kuwa watu wamekuchukia gafla!!!!!hasa kwetu Mwanza,ulitudanganya kwamba
''Mwanza ingekuwa Califonia ya tanzania''ukatuona mazoba,na hatusahau ulivotaka kunyang'anya haki za watu wa nyamagana ili umpe Masha vile ni rafiki yako.unapenda kujichekeshachekesha(refer to your Mdahalo wa kubumba wa urais),hizo kwetu ni dharau,kibaya zaidi ushindi wako ni wamchina yaani feki
.

Tunajua Mungu wa wanyonge ni mwaminifu,na kwamba kwa nguvu kubwa unazotumia kuwa rafiki wa mafisadi na huku wanyonge wakiangamia kwa umaskini.Tambua Mungu atatumia nguvu zake kubwa kuuharibu utawala wako.
Amen mpendwa, naufeel uchungu na hasira uliyonayo moyoni juu ya utawala huu dhalimu, hakika MUNGU atajibu maombi yako na ya watanzania wengi kama ulivyoomba.
 
I think it's a wonderful thing that more and more Tanzanians are snapping out of the CCM illusion.
 
Back
Top Bottom