Yani hii saa bei yake ni sawa na ya gari

Yani hii saa bei yake ni sawa na ya gari

Hata ingeuzwa kwa pesa zilizojaa chumba kizima bado ni saa na nyakati zinabaki kuwa 24 km kawaida. zicturushe roho bure tunaotumia saa zetu za kwenye cm ya mulika mwizi

Pesa huna tu,ukiwa nazo unanunua tu wala huleti ulalamishi.
 
Mbona saa zenyewe kama makorokoro vile - lakini bei mbaya? Hata hazivutii!
 
Back
Top Bottom