Pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na hii Saa ya mkononi inauzwa Paundi 10,600 uku kwetu bei hii si unapata Gari.
View attachment 111657
Kuna gari inauzwa laki sita hapa mtaani.
what is rolex?
vacheron tour de l'ile – $1,250,000
Kuna gari inauzwa laki sita hapa mtaani.
alafu nilichogudua hizi saa ni za kawaida sana.
ni saa...
ha ha ha sikujua kama kuna chakula kinaitwa rolex...nilifikiri kile chakula cha Kiganda! Lol
ssha ha ha sikujua kama kuna chakula kinaitwa rolex...
Aisee leo nimejifunza kitu kipya...ss
Yes in fact there is, Wanachukua chapati na kutengenezea mayai juu yake then roll it!