Yanga yapigwa stop rasmi

Yanga yapigwa stop rasmi

Mleta mada ulipost hii thread bila kufikiri vizuri,..........Hivi timu zote 14 zilikuwa zinatafuta nini katika ligi hii?..kwanini uione yanga tu ndo kakosa ubingwa?.je,walioathirika na mvua ni yanga peke yao?.maeneo haya wanaishi yanga tu?

Umemalizaaa ? Je ni timu ngapi zinataka kujenga uwanja wa kisasa jangwani ? Je ni timu gani zina mashauzi hadi inakera kama yanga ?
 
Back
Top Bottom