Yanga yapigwa stop rasmi

Yanga yapigwa stop rasmi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,191
Reaction score
829,143
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga
Kukosa ubingwa
Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji
Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji
Niliwahi kusema pale hapafai kujenga uwanja lakini nikapata upinzani mkubwa kweli sasa yametimia
Poleni sana yanga tengenezeni swimming pool sasa
 
Corrected 1397808082134.jpg
 
na lile ghorofa la mabasi yaendayo haraka,pale lilipojengwa si njia ya maji?
 
haa haa haa haa mshana jr umeniacha hoi eti wajenge nini!! swimming pool!!!
 
Last edited by a moderator:
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga
Kukosa ubingwa
Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji
Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji
Niliwahi kusema pale hapafai kujenga uwanja lakini nikapata upinzani mkubwa kweli sasa yametimia
Poleni sana yanga tengenezeni swimming pool sasa

Mleta mada ulipost hii thread bila kufikiri vizuri,..........Hivi timu zote 14 zilikuwa zinatafuta nini katika ligi hii?..kwanini uione yanga tu ndo kakosa ubingwa?.je,walioathirika na mvua ni yanga peke yao?.maeneo haya wanaishi yanga tu?
 
Uwanja huwa unanyanyuliwa juu acheni ushamba,uwanja unajengwa popote
 
Mi naona wabongo karibu wote tuna akili finyu hasa vijana, hivi kwanini hamuwezi kufanya mijadala ya maana zaidi ya kutukanana na kubezana? Wewe mleta mada ulipata upinzani na matusi kwa sababu hata uandishi wako ni wa kinafiki, na wenzako wakigundua mnafiki lazima wakupinge tu. Mfano unasema sasa wajenge swimming pool, hizo si kejeli? wataacha kukutukana? Ungeanzisha mada bila kuonyesha hisia zako za chuki dhidi ya Yanga mngejadiliana vizuri, kwakuwa umeamua kuwakejeli basi kubali na matusi yao.
 
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga
Kukosa ubingwa
Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji
Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji
Niliwahi kusema pale hapafai kujenga uwanja lakini nikapata upinzani mkubwa kweli sasa yametimia
Poleni sana yanga tengenezeni swimming pool sasa

MTU mzima na miwani yako umekalia majungu..!!huoni hata aibu hivi Young African kukosa ubingwa kwako imekuwa sherehe utadhani wewe Simba yako ilikuwa inagombania kombe la kushuka daraja,nikuulize wewe mambo ya Yanga yanakuhusu nini wakati wewe huko mabwepande hata magoli ya miti hujaweka,pia hamuulizi mwenyekiti wenu wa mambumbumbu FC pesa ya Okwi na Samatta ziko wapi,hamjiulizi kwanini mliongoza ligi sasa hivi tim iko tia maji tia maji kama Rhino...Hayo huyaoni bali jicho lako na kuwashwa kwako ni kuizungumzia Yanga kama afanyavyo kahaba wenu na msemajiwenu wa Mbumbumbu FC
 
Hilo litakuwa dili la manji tu, kapata sababu ya kutotoa pesa zake, bora azam wamekuwa mabingwa hizi simba yanga hakuna mwenye afadhali
 
Hilo litakuwa dili la manji tu, kapata sababu ya kutotoa pesa zake, bora azam wamekuwa mabingwa hizi simba yanga hakuna mwenye afadhali

Unadhani yanga ni mambumbu kama nyie mliyefyeka shamba la Rage akiwadanganya kuwa ni uwanja?
 
Wiki hii ni mbaya kwa watani zetu Yanga
Kukosa ubingwa
Uwanja kugeuza ziwa malawi baada ya kujaa maji
Kupigwa stop rasmi ya kujenga uwanja uitwao wa kisasa eneo hilo kwakuwa ni njia kuu ya maji
Niliwahi kusema pale hapafai kujenga uwanja lakini nikapata upinzani mkubwa kweli sasa yametimia
Poleni sana yanga tengenezeni swimming pool sasa

Umeandika kwa kutumia Ma------!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
lile litakuwa na flood proof bila shaka...serikali yetu bana....

Hivi... hebu nisaidie kuweka kumbukumbu sawa, hivi ni mimi nimekumiss au wewe ndo umenimiss..!??
 
Back
Top Bottom