Yanga yapanda nafasi ya 6 kwa ubora Afrika

John Gregory

JF-Expert Member
Jul 14, 2019
1,060
1,957
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.

Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022
- 31st May 2023)

1. Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
2. Wydad ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
3. Zamalek ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
4. Pyramids ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
5. Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
6. Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7. Raja ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
8. AS FAR ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
9. Future FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
10. CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
11. Al-Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ
12. USM Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
13. Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
1. Al Ahly
2. Wydad
3. Zamalek
4. Pyramids
5. Sundowns
6. Young Africans
7. Raja
8. AS FAR
9. Future FC
10. CR Belouizdad
11. Al-Hilal
12. USM Alger
13. Simba SC
Vichekesho kama hivi tunabonya ngapi?
 
Ya wapi hiyo
-sxwrhw.jpg
 
Manara aliwabatiza jina sahihi ''HAMNAZO''
 
Seen and ignored
Kuweni na akili japo kisoda, hivi Future fc imefanya kipi cha kuizidi Simba sc au Cr Belouzadad?, Manara akisema hamna akili hakika yuko sawa
Vichekesho kama hivi tunabonya ngapi?
Kuna namna watu hujipofua pasipokujua. Mleta uzi ameleta taarifa na chanzo, na taarifa yake ni kuhusiana na viwango vya mwezi June.
Ikumbukwe mwezi Mei pia Yanga ilipanda, hivyo viwango hivi ni vile vya kila mwezi na mechi ambazo Yanga imecheza ni mechi zinazotambulika kwenye calendar ya CAF, viwango hivi siyo majumuisho kwamba wanashindana na rekodi ambazo vilabu vilijiwekea kwa miaka miwili au mitatu.
Hata hivyo, kwamba timu iliwahi kuingia 10 bora, haimaanishi kuwa hairuhusiwi kushuka, na kushuka kwake kutategemea mechi matokeo kutokana na mashindano hayahaya.
 
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFS Inayojihusisha na takwimu za vilabu vya soka ulimwenguni, imeonyasha Yanga kupanda kufikia nafasi ya 6 kwa ubora barani Afrika.

Africa Club Ranking by IFFHS (Ist June 2022
- 31st May 2023)

1. Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
2. Wydad ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
3. Zamalek ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
4. Pyramids ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
5. Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
6. Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7. Raja ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
8. AS FAR ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
9. Future FC ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ
10. CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
11. Al-Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ
12. USM Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ
13. Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Inakuwaje aliyechukua kombe mshindi wa kwanza awe no 12, mshindi wa pili no 6?

Japo mimi Yanga lkn uongo sipendi
 
Back
Top Bottom