Yanga Yapaa Ubora wa Viwango, Yashika Namba 4 Afrika, Yawabwaga Simba, Mamelodi

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
 
Mdogo mdogo wazee wa propaganda uchwara watakarishwa mazima, wenzao wanawekeza kiukweli kwenye mpira wao wamekaria ngonjera kina Try again na genge lake!
 
Uko sahihi mkuu .
Mi Simba lakini Yanga wako serious kuwekeza kwenye pitch . Imagine unaleta wachezaji wa kigeni wa kuja kukaa benchi .
Halafu wamekuwa na propaganda utafikiri wanasiasa . Wahuni wanaovaa suti wanatuharibia timu .
 
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Mimi ni Yanga lakini uongo sipendi.

Labda ubora wa kuloga cc mzee Mpili
 
Yanga amepata huo ubora kwa kucheza na kufanya vizuri ligi gani bora africa..au niyale matokeo ya 1-5 ya NBC ambayo thamani yake inaishia kwenye mipaka ya Tanzania
 
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Kwa kuwa namba 1,4,8 wapo kundi moja CAFCL, haitachukua muda pumba na mchele kujitenga.
 
Makolo wanasemaje!!!
.
FB_IMG_1700042241994.jpg
 
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.

Nafasi 10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance.
Kipindi hiki mmetisha. Mmepiga chini mpaka Mamelody? Zile goli 5 hazikuwa mchezo haha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom