Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
UPDATES 👇
Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani.
Yanga SC ni wageni kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam FC, Benjamin Mkapa.
Mr. Reporter