Yanga watinga muhimbili

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Katika kile kinachoonekana kuwa na mzio na rangi nyekundu, klabu ya Yanga imepeleka maulizo hospitali ya Muhimbili kuuliza kama inawezekana kubadilisha rangi ya damu ya wachezaji wao kuwa njano, kijani au hata nyeusi.

Maulizo hayo yanafuatia klabu hiyo kukataa kata kata kuvaa jezi zenye nembo nyekundu ya Vodacom na baadhi ya watu kuwasuta kuwa basi wabadilishe pia rangi ya damu zao. Ndipi kiongozi mmoja(jina linahifadhiwa) alipoamua kuwaaambia wenzie kuwa yeye ame google kwenye mtandao na kubaini inawezekana kubadili rangi ya damu wakimeza aina fulani ya dawa spesheli.
 
Umetumwa na vodacom?hizo jezi zenu wapelekeeni wase@?!€€$eng wenzenu sio yanga.
 
masaburi yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yanga pumba tu,kwan wakivaa hzo jezi ndo watakuwa wanaisapot simba au,afta rol ile ni trademark
 
Jukwaa ni joke, lakini wana Yanga povu utafikiri mnazi
 
Simba jamani waache kuwafunga Yanga, maana wakipigwa mechi ijayo sijui itakuwaje?

Mliosoma sheria hebu tujuzeni mambo ya mikataba sheria inasemaje kuhusu mkataba wa TFF na Vodacom na hatimaye kwa klabu wanachama wa TFF. Je Yanga hawako vicariously liable kutii mikataba ya TFF kuhusu udhamini wa mikataba kwa klabu zilizo chini ya TFF?
 
jamani ni utani tu, mbona matusi makubwa hivyo jamani?? Idd el Fitri mie mwezi nshauona hivyo ati
 

mzazi wetu angesubiri sekunde 60 tu kukuzaa ungezaliwa na aya ya quran kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…