Yanga wapata mchongo mpya wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Macron ya Italia

Mkuu unachanganya kati ya 'Shirt Sponsor' na 'Kit Manufacturer' Jaribu kutofautisha tafadhali.
Were unayejua tofauti embu niambie .... Katkia hizi jezi za Barcelona nani "Shirt sponsor" na nani ni "kit manufacuturer"...... Majibu tafadhali......
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 26
  • download.jpg
    download.jpg
    7.5 KB · Views: 25
Were unayejua tofauti embu niambie .... Katkia hizi jezi za Barcelona nani "Shirt sponsor" na nani ni "kit manufacuturer"...... Majibu tafadhali......
Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.

JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!
 
Mkuu unachanganya kati ya 'Shirt Sponsor' na 'Kit Manufacturer' Jaribu kutofautisha tafadhali.
Unaona vizuri jezi ya Madrid na hizi ilikuwa mechi ya klabu bingwa ulaya .... Embu nionyeshe hapo "kit manufacturer" ni nani na "shirt sponsor" ni nani.....

Watu wamekariri kila jezi I we na lijinembo tumboni..... Naombeni majibu wote ninyi .... Maana mnakurupuka tu watengenezaji na wadhamini .... Hamjui kuwa "kit manufacturer" anaweza kuwa "shirt sponsor" kwa wakati mmoja....

poorbillionaire Magwa Jr juan de otaru
 
Attachments

  • 16-02-10-ucl-ronaldo-lyon-v-real-madrid.jpg
    16-02-10-ucl-ronaldo-lyon-v-real-madrid.jpg
    20.9 KB · Views: 25
  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 21
Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.

JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!

Sasa kumbe jibu unalo .... Yanga inamaliza mkataba na Kilimanjaro msimu huu.... Sasa kama hawatakuwa na "shirt sponsor" ....wakivaa jezi bila logo ya mdhamini ni tatizo kwa simba eti.....
 
Miaka ya nyuma club ya barcelona ilikuwa haihitaji shirt sponsors, badae wakareview policy yao wakaona watumie charity oriented shirt sponsors kama Unicef na Qatar foundation then nadhan badae Qatar Airways wakajaribu kuwashawishi(Barca) na wakakubali kuwa shirt sponsors wao, kwa habari nlizonazo ni kwamba tayari barca wametoa new kit for 2016/2017 Season without shirt sponsor so haijajulikana kama atakuja shirt sponsor mwingine baada ya mkataba wa Qatar Airways kuisha au watarudi enzi zileee za kuwa na plain kits with club logo and kit manufacturer logo/signs only, mi na we hatujui.

JIBU LA SWALI LAKO:
Kwenye hizo picha zako kuna kit manufacturer logo and signs pamoja na club logo TU kwa sababu wakati huo walikuwa hawahitaji shirt sponsors especially wale shirt sponsors walio business oriented. Over!!!
Na kit ya Real Madrid nao walikuwa hawataki business oriented au!!!?? Nielezee basis na ya madrid
 
Mkuu unakurupuka sana afu mpira wenyewe huujui kiundani....hapo kwenye picha ya Ronaldo kavaa jezi plain ni wakati ule shirt sponsor wao alikuwa ni 'Bwin' na hiyo ilikuwa ni game ya UEFA Champions League.

Kama ulikuwa hujui basi jua kuwa Bwin ni kampuni ya kamari. Kuna nchi/miji hawataki matangazo ya vitu kama kamari,pombe,sigara etc.

Kwa hiyo timu ikienda kucheza nchi/miji hiyo inalazimika kucheza na plain jerseys bila ya shirt sponsor kama tu shirt sponsor ni miongoni mwa bidhaa zilizokatazwa kutangazwa hadharani ktk sehem hizo.
 
Nikumbushe ni mji gani huuu ambao haukubali kamari ulaya...ulevi, pombe na sigara..... Nikumbushe huo mji mkuu ..... Niutembelee
 
Ungekuwa ni mfatiliaji wa huu mchezo pendwa longtime kitambo lazima ungekuwa unaujua huo mji/jiji waloenda kucheza real madrid bila ya bwin ,anyway utafute kupitia vyanzo vyako vingine mkuu!!!
 
wote wawili ni wadhamini naomba tuelewe hilo, ila wanatofautiana kwenye makubaliano sababu Yanga ina mdhamini wake mkuu ambaye ni TBL kwa kupitia bidhaa ya kinywaji cha bia ya Kilimanjaro. kwa hiyo TBL wanailipa Yanga kwa kutangaziwa nembo yao kwenye jezi huku upande wa pili kuna mtengenezaji wa jezi ambaye mfano ni huyo Macron, wakikubaliana na Yanga ni inakuwa anamlipa Yanga kutangaziwa bidhaa yake ya vifaa vya michezo yaani Yanga kuvaa jezi za Macron ni watalipwa ili kuitangaza nembo hiyo ili hali kukiwa pia na nembo nyingine kwenye jezi.

Macron anakuwa kama mdhamini wa kibiashara kwa katangaziwa bidhaa zake za michezo sababu jezi zikiuzwa ni zitatoka moja kwa moja kutoka Macron na watafungua maduka kulingana na mikataba. Duka linaweza likawa la Macron likawa na bidhaa za Yanga au duka likawa la Yanga likauza bidhaa za Macron. Yote hiyo ni hela kwa Yanga maana hao wote TBL na Macron ni wadhamini.
 
Back
Top Bottom