Yanga wapata mchongo mpya wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Macron ya Italia

Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,359
5,835
Yanga imepata deal ya vifaa vya michezo kutoka kampuni ya MACRON ya nchini Italia. Klabu kubwa kama Napoli. Bolton wanders .

Crystal palace. Stoke city n.k kwa timu za Africa ni Zamalek pekee.

Hivyo wa matopeni route inabadilika badala ya kwenda antalya (Turkey) tunabadirisha gear angani next destination Bologna (Italy) Na kwa mara ya Kwanza nyuzi mpya itavaliwa Algeria.

Wa mbili havai moja
 
...hiyo nyuzi mpya ndio itawasaidia kuwafunga waarabu na mazembe?!
 
Yanga imepata deal ya vifaa vya michezo kutoka kampuni ya MACRON ya nchini Italia. Klabu kubwa kama Napoli. Bolton wanders .Crystal palace. Stoke city n.k kwa timu za Africa ni Zamalek pekee. Hivyo wa matopeni route inabadilika badala ya kwenda antalya (Turkey) tunabadirisha gear angani next destination Bologna (Italy) Na kwa mara ya Kwanza nyuzi mpya itavaliwa Algeria. WA mbili havai moja

Nilishawahi kuona mchezaji wa Yanga kavaa jezi kama sio sweta lina jina la MACRON upande wa kulia wa kifua. Hii inayokuja ni MACRON ipi?
 
Wanavaaa Macron kwenye mazoezi na mavazi ya kusafiria.... Ila hawakuwa wametengeneza jezi kwa ajili ya mechi ..... Na Yale masweta na flana zilikuwa ni sampo Kwa mazoezi na safari za yanga..... Wakizipenda jezi mpya ambazo zitavaliwa kwa mara ya kwanza Algeria ndio wanaingia mkataba Wa jezi za mechi na jezi za mazoezi pamoja na nguo sa safari ..... Kumbuka man utd nguo za mazoezi nI AON na nguo za mechi ni CHEVROLET......
 
Nimekupata mkuu, kwa hali inavyoonekana hiyo deal tayari iko sealed on a number of factors.

1. Wameshavaa kwenye mazoezi na safarini.
2. MACRON ndio waliotengeneza jezi za Mtibwa Sukari ambazo wakati wa Mapinduzi Cup zilinunuliwa sana na kuelezwa ubora wake.
3. Portfolio yao ni kubwa, they had/have Zamalek on board.
 
Hassan Kessy kavaa flana , Nadir Haroub kavaa sweta/jacket za MACRON..... Kimtindo kama wameshaingia makubaliano ya awali....
 
Attachments

  • FB_IMG_1465971996061.jpg
    FB_IMG_1465971996061.jpg
    24.9 KB · Views: 48
Huyu Manji anaboa sana! Anaacha kuendelea na mambo yake, mara oh! Soka soka! Soka na Mhindi wapi na wapi bhana kama co kutuletea magonjwa ya moyo tu huku mitaani?! Wana-Msimbazi hatulali-- hatunywi wala hatupakui eti kisa Manji... mambo gani haya! Mtu mwenyewe hata chandimu hujawahi kucheza... cfa tu! Kama unajua sana kuongoza club ya soka kwanini usiende kuongoza kwenu? Yaani bila aibu unatumia miakili miiiingi kuongoza club ya mpira?! Braza Aveva na Uncle Pope wote hawana raha kisa wewe! Kwanza nasikia pamoja na uraia feki wa Tanzania, pia una uraia wa Canada, UK, India na Mexico! Haikubailiki... Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, hebu anzia kwa huyu mtu anaewafanya akina Braza Aveva waonekane hawafai!
 
Hahaaaaaa naona unarusha jiwe hewani upande wa matopeni kuwapima upepo,nimeipenda
 
Wanavaaa Macron kwenye mazoezi na mavazi ya kusafiria.... Ila hawakuwa wametengeneza jezi kwa ajili ya mechi ..... Na Yale masweta na flana zilikuwa ni sampo Kwa mazoezi na safari za yanga..... Wakizipenda jezi mpya ambazo zitavaliwa kwa mara ya kwanza Algeria ndio wanaingia mkataba Wa jezi za mechi na jezi za mazoezi pamoja na nguo sa safari ..... Kumbuka man utd nguo za mazoezi nI AON na nguo za mechi ni CHEVROLET......
acha uongo son na Chevrolet Ni sponsors watengeneza jezi Ni Adidas
 
Unaweza kusoma kumbe usielewe..... Puma za body tight za Cameroon zilikuwa nembo ya wadhamini au zilikuwa na puma tupu!!!??? Barcelona jezi zake zilikuwa na sponsor!!??? Kabla ya UNICEF na qatar!!??? USIKALILI..... umeangalia upande mmoja tu Wa mtengenezaji ...umesahau mtengenezaji huyo huyo anaweza kuwa sponsor......
acha uongo son na Chevrolet Ni sponsors watengeneza jezi Ni Adidas
 
Wanavaaa Macron kwenye mazoezi na mavazi ya kusafiria.... Ila hawakuwa wametengeneza jezi kwa ajili ya mechi ..... Na Yale masweta na flana zilikuwa ni sampo Kwa mazoezi na safari za yanga..... Wakizipenda jezi mpya ambazo zitavaliwa kwa mara ya kwanza Algeria ndio wanaingia mkataba Wa jezi za mechi na jezi za mazoezi pamoja na nguo sa safari ..... Kumbuka man utd nguo za mazoezi nI AON na nguo za mechi ni CHEVROLET......
Upuuzi!!!Hao AON na Chevrolet co watengeneza vifaa vya michezo hao ni kama kilimanjaro kwa Yanga na Simba au NMB kwa Azam ujue kutofautisha basi
 
Labda ulikuwa motto ndugu yangu ... Angalia jezi ya barcelona enzi za rivaldo na Rinaldo angalia jersey ya Cameroon ....hapo kuna nembo ya timu na nembo ya "mtengenezaji" ambaye wakati huohuo ni "mdhamini".... Wewe unaita sponsor...... Una swali LA ziada......
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 44
  • download.jpg
    download.jpg
    7.5 KB · Views: 40
  • Cam1.jpg
    Cam1.jpg
    28.1 KB · Views: 53
Upuuzi!!!Hao AON na Chevrolet co watengeneza vifaa vya michezo hao ni kama kilimanjaro kwa Yanga na Simba au NMB kwa Azam ujue kutofautisha basi
Kumbe na were ni kilaza.... Embu nionyeshe wadhamini Wa barcelona na Cameroon hapo.... Zaidi ya watengeneza jezi...... Elimu elimu elimu...... Jaribu kutofautisha "mdhamini" na "mtengeneza jezi"......
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    7.5 KB · Views: 42
  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 39
  • Cam1.jpg
    Cam1.jpg
    28.1 KB · Views: 39
Wanavaaa Macron kwenye mazoezi na mavazi ya kusafiria.... Ila hawakuwa wametengeneza jezi kwa ajili ya mechi ..... Na Yale masweta na flana zilikuwa ni sampo Kwa mazoezi na safari za yanga..... Wakizipenda jezi mpya ambazo zitavaliwa kwa mara ya kwanza Algeria ndio wanaingia mkataba Wa jezi za mechi na jezi za mazoezi pamoja na nguo sa safari ..... Kumbuka man utd nguo za mazoezi nI AON na nguo za mechi ni CHEVROLET......
Mkuu unachanganya kati ya 'Shirt Sponsor' na 'Kit Manufacturer' Jaribu kutofautisha tafadhali.
 
Back
Top Bottom