....... Kweli kelele za chura hazimzuii mwenye kisima kuchota maji, na usiogope maneno kwani hata kwenye kanga yapo..... zile kelele za usajili wa kupindukia wa gharama kubwa lakini wameishia kunawa! duuuu! wachezaji watano kutoka mataifa matano ya Uganda, Rwanda, Congo, Ghana na Burundi, bado mambo hayakuwanyookea... ninahesabu sare ya jana sawa na demu kunywa na kunywa vya watu kisha akakataa kuondoka na jamaa...