Yanga wachezaji watano wa kigeni lakini wapi!!!

Simba ina mapro watano lakini ni wangapi walicheza? Yaani hao wa imba ndio hovyo kabisa maana hata mechi na Lyon hawapati namba.
Mlitaka tuwaingize maproo wetu ili muwape kadi nyekundu kama mlivyofanya kwa King Emmanuel Okwi. Hao Yoso tu waliwatoa kamasi za mdomo mpaka vijeba vyenu vinashika jezi ya mtoto mpaka aibu je tungewaingia maproo wetu wote kama nyinyi si mngetia mpira kwapani.
 
Kwani twite na mbiyavanga wana miaka mingapi?

Kaka unauelewa lkn mwelekeo wa mjadala?,issue ilikuwa kumvumilia Akuffor kama alivyovumiliwa Okwi kwa misimu isiyopungua mi'3,huyu huyu Akuffor anayetarajia kutimiza miaka 31 mwishoniX2 mwa mwaka huu.....nashangaa unaingiza issue za Mbiyavanga ambaye baada ya kuwagharimu hela kibao sijui kaelekea wapi
 
Simba ni wajanja; baada ya kugundua Maproo si wakali kihivyo kocha aliamua wakae pembeni kwanza huku wakitafakali na wakati huohuo wazawa wakachua majukumu lakini kwa Yanga wao Maproo ndo kila kitu; ingekua vyema kama wangekua wanailetea Club mafanikio kinyume chake ndicho tunachokiona sasa, timu inacheza inaambulia droo wapenzi wanashangilia tu. haya bwana hayo ndo matunda ya Usajiri wenye thamani ya Sh. milioni 300.,
Kwetu Simba SC maproo wakija wanapewa heshima yao lakini wanatakiwa wajifunze kwanza mpira wa kibongo kutoka kwa wazawa halafu waongeze na uzoefu wao wakimataifa kabla ya kupewa mikoba ya kuifanyia kazi Simba SC "The true Champion". Kwa wenzetu malimbukeni mgeni akija mwenyeji hana thamani matokeo yake tano bila, tatu bila a.k.a Dar mpaka Moro.

 
Kaka unauelewa lkn mwelekeo wa mjadala?,issue ilikuwa kumvumilia Akuffor kama alivyovumiliwa Okwi kwa misimu isiyopungua mi'3,huyu huyu Akuffor anayetarajia kutimiza miaka 31 mwishoniX2 mwa mwaka huu.....nashangaa unaingiza issue za Mbiyavanga ambaye baada ya kuwagharimu hela kibao sijui kaelekea wapi
Utaniwia radhi kama nilisema Mbiyavanga, nimeuliza je twite na kavumbangu wana miaka mingapi ya kusubiriwa ili waje kuwa kama Okwi?

 
Whatever the case na ndo maana tunawatumia sasa hivi,hatuhitaji kuwasubiri mpaka msimu wa nne.
Na ndio maana hawafundishiki, wahenga walinena "mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya".
Jiandaeni kuwatimua kama akina Davies Mwape na Asamoah Keneth.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom