du, watani wamechoka kucheza mpira, wameamua kupania kuumiza wachezaji wetu. waache hiyo tabia sisi bado tunawakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa!!
wakuu mechi haijaisha tu?Hongera simba sc...sisi ndo wenye kuleta heshima hapa Tanzania tu.Watani poleni kwa kipigo..tumezingatia itifaki ya mwaka 2010 tu!