Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,476
- 4,757
kaka vp shabiki wa chelsea nini?chelsea kapigwa bao moja kaka
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!
watu wengine hivi nyie mnafikiria mpira unachezwa kwa maneno,uchawi na migogoro.........kajipangeni upyaMkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.
Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.
Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!
Nafikili wewe ndugu yangu uanyesema Mwandike kawabeba Yanga hujui mpira na pengine hata ushabiki huujui.
Mwandike ni kocha anayeheshimika sana katika medani ya soka , wewe ni nani hata useme hivyo?hata kurusha mpira tu hujui. Achana na ushabiki usio kuwa na hoja.
Yanga ndio timu bora, lakini simba ni timu iliyojaa migogoro....angalia usajili wa Yanga mwaka huu....hata hapa Ulaya timu kama za uingereza zinatumia mamilion kuwekeza kwenye soka....
Pole sana, kipigo simba imekipokea. Mwandike anakuwa tu hafai tu kwa kuwa simba wamefungwa, ila wakifunga wao basi ni mbaya...achaneni na zana zinazo rudisha maendeleo ya soka nyuma....tukiwa na watu kama wewe tutaendele kubaki nyuma kisoka.
Hongereni Yanga kwa ushindi. Poleni Simba kwa kipigo, ila muwe wa staarabu kukubali kushindwa.
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.
Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.
Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu
sio kila siku acheke yeye anagalau jk nae atacheka leo lol
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.
Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.
Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu
Si unaona sasa unavyo advertise ur ignorance! Mwandike kawa kocha toka lini? watu wengine bwana kukurupuka tu...