Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Yanga wanatafuta muunganiko na first eleven kwasasa.wanatumia nguvu nyingi kupata matokeo kwasababu walikosa pre season na wanakosa unyumbufu Ila wakija kukaa sawa itakua hatari kubwa sana.
Uko sahihi kabisa na naona tukifika mbele kunakua na kitete cha wachezaji
 
Kwa hiyo hicho kitete kinasababishwa na kukosa muunganiko? Naona kila kitu kinasingiziwa muunganiko
Kiongozi tunachozungumzia apa ni mpira ukifika mbele yani kila mtu anacheza kivyake, hatuchezi kitimu na kila mtu hajui movemenmt za mwenzake hasa Sarpong na Sougne
 
Kwanini unatukana wewe?!?! Una umri gani wewe?!? Anza Kwanza kumtamkia hivyo mama yako na baba yako...jibu utakalopata kutoka kwa wazazi wako ndipo uje kutujulisha hapa jf...
Achana nae kiongozi hana kauli nzuri na nadhani watoto wako wengi humu Jamiiforums, mtu mzima hawezi kuongea maneno kama hayo. Nachukia sana nkiona mtu ana mjibu vibaya mwenzake.
 
KMC 2 - 1 Prisons
Yanga 1 - 1 Prisons

KMC 4 - 0 Mbeya City
Yanga 1 - 0 Mbeya City
 
Yanga wanatafuta muunganiko na first eleven kwasasa.wanatumia nguvu nyingi kupata matokeo kwasababu walikosa pre season na wanakosa unyumbufu Ila wakija kukaa sawa itakua hatari kubwa sana.
Hadi Sasa Yanga imeonesha inawachezaji wazuri Sana waliosajiliwa msimu huu lakini bado hawajawa na timu nzuri. Timu inaonesha performance ya hali ya juu na kufanya mashumbulizi mengi lakini kupata matokeo kwa wepesi ndio shida
 
Yule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
Umekidh kiu yako ,,kwako mwalim kashasha
 
Kumtukana MTU aliyekuudhi kunapunguza maumivu ya maudhi, hvyo sio mbaya muacha atukane bhna kwani sh ngapi... Anapunguza sumu ya maudhi
Achana nae kiongozi hana kauli nzuri na nadhani watoto wako wengi humu Jamiiforums, mtu mzima hawezi kuongea maneno kama hayo. Nachukia sana nkiona mtu ana mjibu vibaya mwenzake.
 
Hadi Sasa Yanga imeonesha inawachezaji wazuri Sana waliosajiliwa msimu huu lakini bado hawajawa na timu nzuri. Timu inaonesha performance ya hali ya juu na kufanya mashumbulizi mengi lakini kupata matokeo kwa wepesi ndio shida
Yanga leo walikua na shots on target ngapi? Upofu huu ni balaa. Mashambulizi mengi yapi? Hata shots off target hazizidi tano..
 
Msimamo wa ligi wa AWAY games

1600028889972.png
 
Back
Top Bottom