Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

Misimu yote miwili mliyochukua ubingwa wa Vodacom PL mlikuwa mnatandikwa tu na YANGA bila ya kufurukuta, unaonaje mlipe kisasi cha hicho kichapo kwanza ili muendelee kujifariji kwa ubovu wa YANGA
Mngeitandika na jana nyie watu mimi nakwambia hivii kikosi kibovu kabisa cha yanga hii mbele ya simba
 
Msimamo wa Ligi Kuu

55 - Yanga SC
54 - Hakuna
53 - Hakunaaaa
52 - Huamini au?
51 - Labda huko chini
50 - Shuka tena
49 - Wapo mbali
48 - Sio mbaya angalia utawaona
47 - Endelea kuangalia
46 - Sasa unakaribia mitaa yao
45 - Tenaa
44 - enhee
43 - ewaaa
42 - Simba SC
 
Back
Top Bottom