Halafu inabidi huu usemi eti team ya wananchi tuufutilie mbali huo ndo unaodumaza maendeleoushauri mzuri japo unaowashauri ni wa baridiiiiiiiiii bongo zao zimesinyaa. Wanawaminisha mashabiki wao wasiojielewa kuwa timu yao ya mtaa wa twiga ni ya wananchi na iliahali kuna timu zianzotumia kodi za wananchi kama prison, kmc police Tanzania nk.... cjui tuziiteje... siku vyura ubaridi ukiisha wakaanza kupata joto watakuta timu ya watu iko mbali sana.
kwa ule msako wa nyani aliosakwa township we nyama ukisakwa vile unaweza kuhimili!?..acheni kujipa moyoUlichokisahau ni kwamba Simba hiyo imekufunga kwa muda wa miaka 3 sasa mkitoa droo mnafanya maandamano ya kujipongeza. Gepu la pointi lilikuwa 7 msimu uliopita, msimu huu litakuwa 15 kwa mshindi wa pili ambaye atakuwa Azam.Makwasukwasu hawana timu ya kushindana. Baada ya nusu msimu visingizio vitaanza kama kawaida.
Kuna Yebo Yebo mwenzako aliweka mke akaishia kulia.Wewe sijui utaweka nini maanake ndio zenu hizo.
Kuonyesha kwamba Simba imefungwa mechi chache, yaani unazitaja kabisa na zinahesabika. Kuna timu hatufahamu hata ilifungwa mechi ngapi, maana ni nyingiSimba ya kuchukua ubingwa mara saba mfululizo ni Simba ipi hiyo? Hii hii inayofungwa na Mashujaa fc! hii hii iliyofungwa na Kagera Sugar nyumbani na ugenini msimu uliopita?
Halafu eti unaifananisha Juventus na Mbumbumbu fc? Watake radhi Juventus tafadhari. Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Ligi haijaanza, tayari mmeshaanza mchecheto!
Mikia FC buana.
Wakija shtuka na huu msemo watajikuta umeoza. Simba kwa mipango yao waaend ivunja hiyo rekodi maana ni saba tu zimebaki mwakani sita.Tunajifichia kwenye bingwa wa kihistoria na timu ya wananchi
Umekomenti kishabiki sanaSimba ya kuchukua ubingwa mara saba mfululizo ni Simba ipi hiyo? Hii hii inayofungwa na Mashujaa fc! hii hii iliyofungwa na Kagera Sugar nyumbani na ugenini msimu uliopita?
Halafu eti unaifananisha Juventus na Mbumbumbu fc? Watake radhi Juventus tafadhari. Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Ligi haijaanza, tayari mmeshaanza mchecheto!
Umekomenti kishabiki sana
Kuonyesha kwamba Simba imefungwa mechi chache, yaani unazitaja kabisa na zinahesabika. Kuna timu hatufahamu hata ilifungwa mechi ngapi, maana ni nyingi
Tunajifichia kwenye bingwa wa kihistoria na timu ya wananchi