Yanga na uongozi wake acheni kusajili kama mnataka kuifunga Ndanda tu, sajilini kiufundi zaidi

astranaut

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
1,276
1,021
Viongozi wa Yanga inatakiwa mjitathimini na mbadilike muendane na wakati mambo ya kusajili kwa ajili ya kumfunga Ndanda haikubaliki ilishapitwa na wakati

Kidogo Simba kaanza kujitambua na hiyo ni baada ya ujio wa mwekezaji MO saizi anajikita kwenye Klabu Bingwa kwani huko ndiko kuna hela tofauti na kupoteza muda hapa nyumbani kila siku kutambiana huyu kumfunga huyu

Mbaya zaidi kama uongozi wa Yanga utaendelea kulala ni kitendo cha muda Simba atakuja kulishika soka la bongo itakuja kuwa kama Italy ambako Juventus kwa sasa ndo anayetamba kachukua mara 7 mfululizo sasa tusije tukafika huko.

Kwa sababu kama Simba atakuja kulishika soka la hapa nchini basi ndo utajua mwanguko wa klabu ya Yanga kwa kukosa mashabiki itabakiwa na wale wazee wafia club akina akilimali kwa masilahi yao eti team ni yao.

Watanzania siku zote wanapenda kizuri hilo halina ubishi ndomana saizi simba anajaza uwanja hata kama ni kwa buku 2 mashabiki wa yanga wamepungua sana yote hiyo ni kutokana na team kutokufanya vizuri.
 
ushauri mzuri japo unaowashauri ni wa baridiiiiiiiiii bongo zao zimesinyaa. Wanawaminisha mashabiki wao wasiojielewa kuwa timu yao ya mtaa wa twiga ni ya wananchi na iliahali kuna timu zianzotumia kodi za wananchi kama prison, kmc police Tanzania nk.... cjui tuziiteje... siku vyura ubaridi ukiisha wakaanza kupata joto watakuta timu ya watu iko mbali sana.
 
Halafu inabidi huu usemi eti team ya wananchi tuufutilie mbali huo ndo unaodumaza maendeleo
 
Mabadiliko yanga yanatakiwa kabisa huu "uongo"wa wananchi ni hapana kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba ya kuchukua ubingwa mara saba mfululizo ni Simba ipi hiyo? Hii hii inayofungwa na Mashujaa fc! hii hii iliyofungwa na Kagera Sugar nyumbani na ugenini msimu uliopita?

Halafu eti unaifananisha Juventus na Mbumbumbu fc? Watake radhi Juventus tafadhari. Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Ligi haijaanza, tayari mmeshaanza mchecheto!
 
Ulichokisahau ni kwamba Simba hiyo imekufunga kwa muda wa miaka 3 sasa mkitoa droo mnafanya maandamano ya kujipongeza. Gepu la pointi lilikuwa 7 msimu uliopita, msimu huu litakuwa 15 kwa mshindi wa pili ambaye atakuwa Azam.Makwasukwasu hawana timu ya kushindana. Baada ya nusu msimu visingizio vitaanza kama kawaida.
Kuna Yebo Yebo mwenzako aliweka mke akaishia kulia.Wewe sijui utaweka nini maanake ndio zenu hizo.
 
kwa ule msako wa nyani aliosakwa township we nyama ukisakwa vile unaweza kuhimili!?..acheni kujipa moyo
 
Simba ya kuchukua ubingwa mara saba mfululizo ni Simba ipi hiyo? Hii hii inayofungwa na Mashujaa fc! hii hii iliyofungwa na Kagera Sugar nyumbani na ugenini msimu uliopita?

Halafu eti unaifananisha Juventus na Mbumbumbu fc? Watake radhi Juventus tafadhari. Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Ligi haijaanza, tayari mmeshaanza mchecheto!
Kuonyesha kwamba Simba imefungwa mechi chache, yaani unazitaja kabisa na zinahesabika. Kuna timu hatufahamu hata ilifungwa mechi ngapi, maana ni nyingi
 
Msako wa kupewa penalti mbili ndio utoe droo tena nyumbani. Ulihadithiwa au ulikuwepo uwanjani. Mtakutana na Simba msipaki basi. Mpira mbovu usio na mpangilio wa kujisifu umepata droo nyumbani.
 
Mikia FC buana.

Dawa ya mikia ni kuwafunga tu, na siyo kingine...tangu enzi na enzi mikia ndio ambao wana maneno ya kuudhi..dawa yao ni kuwafunga tu na huwa hawakawii kufukuzana...Upo wakati walinusurika kushuka daraja mara mbili..
 
Kuna mwaka 1977 mlijisifu ohh tumesajili timu nzuri mkaishia kupigwa 6.2012 ngebe zikaanza tena mkatunguliwa 5.Chungeni zisije zikawa 7.
 
Simba ya kuchukua ubingwa mara saba mfululizo ni Simba ipi hiyo? Hii hii inayofungwa na Mashujaa fc! hii hii iliyofungwa na Kagera Sugar nyumbani na ugenini msimu uliopita?

Halafu eti unaifananisha Juventus na Mbumbumbu fc? Watake radhi Juventus tafadhari. Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Ligi haijaanza, tayari mmeshaanza mchecheto!
Umekomenti kishabiki sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom