Viongozi wa Yanga inatakiwa mjitathimini na mbadilike muendane na wakati mambo ya kusajili kwa ajili ya kumfunga Ndanda haikubaliki ilishapitwa na wakati
Kidogo Simba kaanza kujitambua na hiyo ni baada ya ujio wa mwekezaji MO saizi anajikita kwenye Klabu Bingwa kwani huko ndiko kuna hela tofauti na kupoteza muda hapa nyumbani kila siku kutambiana huyu kumfunga huyu
Mbaya zaidi kama uongozi wa Yanga utaendelea kulala ni kitendo cha muda Simba atakuja kulishika soka la bongo itakuja kuwa kama Italy ambako Juventus kwa sasa ndo anayetamba kachukua mara 7 mfululizo sasa tusije tukafika huko.
Kwa sababu kama Simba atakuja kulishika soka la hapa nchini basi ndo utajua mwanguko wa klabu ya Yanga kwa kukosa mashabiki itabakiwa na wale wazee wafia club akina akilimali kwa masilahi yao eti team ni yao.
Watanzania siku zote wanapenda kizuri hilo halina ubishi ndomana saizi simba anajaza uwanja hata kama ni kwa buku 2 mashabiki wa yanga wamepungua sana yote hiyo ni kutokana na team kutokufanya vizuri.