Yanga na katibu mpya Mkenya

Yanga na katibu mpya Mkenya

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Yanga inatarajia kuleta katibu mpya mkenya.mimi binafsi siungi mkono hapa makamu mwenyekiti clement sanga umechemka na unaendeleza sera ya kutukuza wageni. Hapo kwanza tayari tunapunguza ajira ya mtanzania na pia tunaendeleza ile dhana kuwa wakenya wanaweza kuliko sisi
Pia huyo katibu mpya sio mwanachama wa yanga(hana kadi)
Katibu mwenyewe anashutuma kibao za uwizi alipokuwa kiongozi chama cha mpira wa kenya
 
Sio mbaya, mbona mwenyekiti wameoutsource kutoka nje ya bara kabisa, kwa hiyo katibu mkuu akitoka nchi jirani poa tu, na TFF wasingeweka sheria ya wachezaji watano nadhani timu nzima ingekuwa na wageni, kuna kipindi walikuwa na wachezaji kumi wa kigeni.
 
Tumechokana na opportunists walalamishi. Hiyo ndiyo gharama ya professional football. Natamani siku moja TFF iongozwe na kiongozi kutoka nchi zenye malengo ya soka kama UK, kuliko kuwapa watu wenye political ambitions. Well done Yanga kama ni kweli.
 
We baki na kikadi chako akina mzee akilimali washachukua chao mapema.
 
Hongera yanga Africa kwani huo ni mtazamo chanya Wa kuendeleza soka letu la tz
 
Sio mbaya, mbona mwenyekiti wameoutsource kutoka nje ya bara kabisa, kwa hiyo katibu mkuu akitoka nchi jirani poa tu, na TFF wasingeweka sheria ya wachezaji watano nadhani timu nzima ingekuwa na wageni, kuna kipindi walikuwa na wachezaji kumi wa kigeni.

Ni kweli hata Simba wanaye Al-Shaabab ambaye kanyea ndoo muda mrefu gerezani kwa wizi katika FAT, nadhani Yanga tuko sawa.
 
teh, teh, teh! unamaanisha mzee wa mapisto? hivi hawezi kutafuta wataalamu wakamsaidia ku-format historia yake angalau kile kipande cha wizi uliomfanya awe mgeni wa serikale? Akifa bila ku-format historia itasomeka "marehemu .......ge alifungwa jela kwa kosa la wizi kabla ya kuwa mwenyekiti wa Simba..."
 
Tatizo ni kwamba pamoja na kunyea ndoo, alikata rufaa mahakama kuu. Hukumu ilitoka akiwa tayari kapata msamaha wa Rais na alishinda. Hilo linamfanya asiwe na kizuizi kuwa aliwahi kupatikana na hatia. Vinginevyo ubunge na uongozi wa nyau angeusikia redioni.
 
W amlete tu, aliyepo anapwaya sana. Saa zote anaongea kwa hasira. Hana PR nzuri
 
Ndio sababu mpira umekwisha Tanzania. Tulipokwenda kucheza fainali za Africa cup kule Nigeria hakukua na kimburu kutoka nje. Wanariadha wetu wa miaka hiyo walioleta medali kama vile Shahanga nk.

BTW hata Magogoni wameweka Banyamulenge halafu mnasema Kagame kamtusi Jakaya, hamuulize yametokeaje? Hilo ndio tatizo la kuongozwa na mtumwa.
 
Wanachama wa yanga wamemkataa rasmi katibu toka kenya maana ni aibu nchi ya watu zaidi ya milion 40 wenye kila aina ya ujuzi halafu wanataka leta mgeni.maana yake ni nini?
 
Back
Top Bottom