Hatuvai doa jekundu ata msemaje.
Tatizo ni wale wazee wa club!!!
Klabu ya Yanga imekuwa na malumbano na TFF kuhusiana na nembo ya wadhamini wa ligi kuu ya Vodacom, issue ni doa jekundu katika jezi ambazo wadhamini hao wanazotoa kwa vilabu vyote vinavyoshiriki ligi hiyo, Wanajangwani wanalalamika kuwa lazima doa hilo jekundu liondolewe liwekwe la njano au kijani/nyeusi ................. mbona wachezaji wao wanavaa viatu vyekundu na wanafunga magoli na mara nyingine wanafungwa? na zile noti nyekundu vp... hivi rangi nyekundu ambayo haitakiwi hili DOA la VODACOM au mna lenu jambo?
Tatizo ni wale wazee wa club!!![/QU
wazee wa UAMSHO?
So what? hawa Yanga hawana jipya kwani logo ya Voda inaathiri nini?:A S embarassed: