Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
I see, watu mnakuwa wakali akitajwa Mhishimiwa Mwenyekiti Rage......
Mimi nikajua umekuja na ushahidi wa Okwi akimpiga mchezaji wa RUVU JKT kumbe unaendeleza porojo tu....
I see, watu mnakuwa wakali akitajwa Mhishimiwa Mwenyekiti Rage......
Nyie ndiyo mnaropoka ropoka tu kisa mmenunua kimechi cha jana subirini dozi yenu tarehe 3.10.12
ha!ha!ha! Tukifungwa ni halali.tukishinda tumenunua mechi. Nyie watu hamna dogo.!
Mimi nikajua umekuja na ushahidi wa Okwi akimpiga mchezaji wa RUVU JKT kumbe unaendeleza porojo tu....
......lol
Dah we dogo kweli mkare......Maana unapenda ligi sijapata kuona...
yanga mnaongea kweli kumfunga JKT mnachonga hvyo,ngoja next mechi sijui mtamfukuza nani?
Ushindi wa kununua unajivunia wewe ulitegemea yanga wafungwe baada ya kufukuza Katibu, Msemaji na kocha, nani angetakiwa kuondoka baada ya kufungwa na JKT RUVU...
Ile sheria mpya ya tff inasemaje kuhusu timu inayomtimua refa?
In theory, Simba inapaswa kuwa ni club kubwa lakini unfortunately ina "small club" mentality kwa thinking ya aina ya watu kama ninyi na yule mwenyekiti wenu mwongo.
Yanga has got a "big club" mentality...just like Barca, Real Madrid, Liverpool, Arsenal, Man U, etc ambazo haziwezi kukubaliana na trend ya kupoteza pointi mfululizo. Never! Lazima coach a-rectify situation haraka kabla hatua kali dhidi yake hazichukuliwa.
Sijui kama mnajua kuwa mwenyekiti wenu ni mtoto wa kijiweni pale Saigoni (Kariakoo)..sasa kaona majority ya fans wa Simba (ukiachia Waarabu na Wahindi) wanatoka bush (watindiga).
Sasa timu ikiyumba kwenye mashindano, mtoto wa Saigon anawaita watindiga wake kwenye kikao anawanunulia chips na soda na kuanza kuwapa ahadi kwa kutumia JK style - TV, uwanja wa bil 70 (?), Twite, Yondani, nk.
Akimaliza mnampigia makofi meengi... masikini msijue kuwa mmepigwa fix za nguvu. Ushamba ni gharama sana!!
Small club mentality ndiyo inawapa aina hii ya viongozi. Tafakarini!!
Huu sasa ushamba.
Huu sasa ushamba.
Mkirua, kumfukuza kocha haikuwa busara. Tujifunze kwa wenzetu, utakuta timu inafungwa 6 kwa 1 au nil kabisa lakini kocha anajipanga na next time unaona timu inafanya vizuri tu. Ila kinachowasumbua Yanga ni lile athiriko la kisaikolojia kwamba wao ni timu kubwa na hawawezi kufungwa na timu kama hiyo ya wakata miwa.
Kwa mfano shabiki wa kweli hawezi kuihama timu yake eti kwa kuwa imefungwa au imeshuka daraja...mfano mzuri ni mimi mwenyewe, mimi ni shabiki wa Bolton Wanderes na msimu huu tumeshuka daraja (sufferance of relegation)ila bado naipenda timu yangu na wala siwezi kuitema. Kwa hapa South mimi ni shabiki wa maharamia wa orlando (Orlando Pirates, tuko mbali sana kimsimamo katika ligi ya hapa Premier Soccer League, nafasi ya kumi na bado siwezi kuihama eti kwa sababu juzi tulilizwa na madogo janja.
Sasa kwa soka ya TZA ni kwamba ushabiki uko katika timu mbili tu, Simba na Yanga.
soko kutoka kwa yanga, timu ya mashoga kocha kasema ukweli mmemtimua..uliona wapi madume 3 yana lala kitanda kimoja