Lol.....
Sio kosa lako.......Ni kosa la Rage anayekuharibu wewe......
Binafsi siwezi kubishana na wewe when it comes to soccer........Labda kwenye siasa za matusi/maji taka ndio utanitoa knock out, si kwingineko....
Halfu.........Mbona sibishani na wewe aisee........Kubishana na wewe ni sawa na kubishana na tapeli Rage,mzee wa mguu wa kuku ambaye alifungwa jela sababu ya wizi wa mamilioni ya FAT.......Tapeli aliyekubuhu ambaye amewadanganya wajinga wenzio kuwa atawaanzishia Simba TV......Uwanja wa kituruki......Mkataba wa Yanga na Yondan ni toilet paper......Katafuna fedha za rambirambi za msiba wa hayati Mafisango.......Kawadanganya kumsainisha Mbuyu Twite.......N.k...
OKWI alipewa red ya kujitakia kwa kumpiga kiwiko Kessy Mapande wa JKT Ruvu na si mchezo mchafu wala nini, halafu bado anasubiriwa mahakamani kwa kumpiga na chupa ya maji shabiki mlemavu wa Yanga baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu....